Natafuta mchumba msichana mwenye sifa zifuatazo

Natafuta mchumba msichana mwenye sifa zifuatazo

julius caesar

Member
Joined
Mar 20, 2015
Posts
94
Reaction score
27
Habari wa kuu,

Namshukuru Mungu kwa kutufikisha siku ya Leo,mmi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 26,mwenye kimo cha kawaida,natafuta msiçhana mwenye umri kuanzia miaka 18 mpaka 25 , lengo langu nikutengeneza mahusiano yatakayo tupelekea kwenye ndoa, nataka msichana mwenye elimu kuanzia form four kuendelea.

Kama atakuwa anataluuma itakuwa vizuri zaidi kama atakuwa hana kazi nitamtafutia mwenyewe kazi, coz sipendi mwanamke tegemezi kwa kila kitu,nimeandika humu natafuta mchumba sio kama huku mitaani si waoni ila ni kwa sababu mungu ameniongoza nifanye hivyo,natumaini kama kuna msichana naye anatafuta serious relationship,ani pm!

Angalizo: Mmi sio mwanaume tajiri, mmi ni mwanaume mwenye kipato cha chini, napenda sana care na respect,ukinipenda kwa dhati kutoka moyoni kwako hutojutia maamuzi yako,

Mungu ndie atakuwa shaidi wangu

Asante
 
siku hiz ukiongea ukweli hupati mke bro!!! wanawake wanapenda kudanganywa.....ila all the best
 
Hiki ndiyo kimenifanya nigune:

"lengo langu nikutengeneza mahusiano yatakayo tupelekea kwenye ndoa"

Umeguna kwani kuna kitu gani cha ajabu hapo,nia yangu ni kutengeneza serious relationship ambayo inaweza kutupeleka kwenye ndoa!
 
siku hiz ukiongea ukweli hupati mke bro!!! wanawake wanapenda kudanganywa.....ila all the best

ajajua ili upoge watoti wakali na kipqto cha chini lazma uwe mwongo.

hapa chuga kuna fund gerej anagonga wake za watu kwa kuendesha magar ya mabosi baada ya kutengeneza. jioni ananyuka pamba na kutoka nq ma vogy, range, V8 etc ila jamaa geto ana kitanda tu.
ila watoto wanajua meneja flan ivi amazing.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom