mickey drizzy
Member
- Jun 19, 2015
- 30
- 3
Habari za wakati huu wapendwa wana Jf,
Humu tupo wengi wa sehemu tofauti tofaut na pia rika tofauti ningependa tufahamiane jamani so kama upo online jiachie usisite hii ndo time yetu tubadilishane mawazo na pia tupige stori mbali mbali kuhusu maisha yetu ya kila siku.
KARIBUNI