Nahitaji rafiki wa kike nitakae anza nae mauhusiano ya kujenga family, mimi ni mtumishi Serikalini na sina mtoto.
Umri 18-23 kwa aliye tayari ani Pm Au 0715152700 tupeana more info...
Habarini, wapendwa,
Kichwa cha habari chahusika. Kwa jina naitwa Nathan, nipo Dodoma nina 23 years, rangi maji ya kunde, mrefu kiasi. Nahitaji girlfriend, awe mrefu wa wastani, dini sichagui...
We can count the dough or kick a flow
or chill out watchin videos
or actin really silly yo, but really doe
all that can end...
Whether at the bar with superstars
or cruisin in the trooper car
I...
nimeachishwa kazi ghafla na sijalipwa chochote.
pesa yangu ya akiba niliyoihifadhi katika simu imeibiwa na sasa nimeishtaki kampuni hiyo ya simu.
nimerudi jana kutoka kazini nimekuta nyumba...
Kutokana na kuwa wanawake ni wengi mno kuliko wanaume na wanawake wengi hawajabahatika kuolewa japo hata mara moja tangu wazaliwe na wanahitaji kuolewa ila wakuwaoa hakuna na huenda wakaondoka...
Wasifu wangu;
Mimi ni kijana wa miaka 25 Dini mkristo mwenyeji wa kaskazini mrefu maji ya kunde
Kazi mfanya biashara
2: Wasifu wa mlengwa
Awe na umri kuanzia 18 mpaka 24...
I am 3 months old in Mwanza. I am 26 years old working in Mwanza and i would like to meet a lady friend of any tribe, age and build. Am finding it quite lonely going to work and going back to the...
Ehhh ndio maana hamna namna, natafuta kampani.
Eeehhh ndio rafiki yangu kipenzi amefariki, RIP Jackson.
Na tukifunga chuo ntakua home tu kwakweli najua nna research ila ntahitaji marafiki.
Ndio...
Naitaji msichana mrembo ambaye yupo tayari kwenda kisiwa Ndui Zanzibar kama kampani yaani tour guide nitalipia kila kitu juu yangu. Nitakaa wiki moja then nitarudi na kwenda. Ngorongoro na Manyara...
Habari wana Jf,
Mim ni mgeni humu lakini naamini maisha hutafutwa popote na mke hutafutwa popote ilimradi kila mtu amkubali mwenzake na kumheshimu na kumthamini katika hali yeyote ya kimaisha...
Samahani ndugu zangu kama nina wakwaza,
Bado sijapata mchumba ambaye nataka awe mme, umri miaka 25 hadi 35, please niko serious msiseme natania, dini awe mkristo halisi aliye tayari kufunga ndoa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.