Awe na sifa zifuatazo;
1. Awe Mtanzania
2. Elimu at least form six na kuendelea(iwe rahisi kumuendeleza)
3. Umri miaka 23 hadi 28
4. Awe mcha Mungu
5. Asiwe mwembamba sana, asiwe mnene...
MI ni kijana mkazi wa Dar, niko bachelor, nina elimu ya Chuo Kikuu nilimaliza 2013, nina twenty six years nilipomaliza nikaajiliwa na Serikali hazina mpaka sasa.
Ninatamani kumpata mrembo hapa...
Habari wana JF,
Mi ni mvulana wa miaka 28 na elimu yangu ni first degree pia naishi Dsm. Natafuta binti mwenye miaka kuanzia 19-24 awe na mwili wa wastani, urefu 161-163 sentimita, dini should be...
Habari za mida hii wapendwa,
Mimi ni binti mmoja mtaratibu sana, sijisifii ila niko hivyo kweli. Mapenzi yamenuimiza sana, ilifika mahali nilichukia sana wanaume, niliona ni wanyama nimekaa...
Nale khobha ng'wanike wa kotoola, ila abhize na myaka kwandeja makomi abhele asido kela makomi abhele na mpungate, nale ng'wanza, ila abhize na tabia ya wiza, natogilwe ngenu hado, nehu hado...
Mim naomba ushaur utamjuaje mpenzi wakweli maana mim nina mpenz wangu kila Mara anasema yuko busy hata simu hapokei Mara nyingine ukimuuliza sababu anasema yuko busy
Habari wana JamiiForums!
Kwa mara ya kwanza naingia humu kumtafuta ambaye atakuwa mtu wa karibu maishani mwangu. Nina miaka 29, ni Mkristo, ninafanya kazi katika shirika binafsi na nina elimu...
Naamini mke anapatikana popote natafuta mwanamke mkristo mwenye hofu ya Mungu.Ili awe mama wa watoto wamgu mwenye kujua wajibu wake kama mama wa familia. Umri 20-27 elimu form4 na kuendelea.
Kwa...
Natafuta rafiki wa kike popote pale. Nahitaji awe mwenye hofu ya MUNGU ndani yake, napenda awe mrefu, umri 23-27. Mengine tutafahamiana, mimi ni me, umri wangu 28.
God bless you
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.