ragin
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,391
- 9,383
Habarini!
Natafuta marafiki wa jinsia zote!
Walio komaa kibiashara na ujasiria mali
Wawe na wasifa angalau huu hapa;
i> Aliepitia changamoto za kupanda na kushuka kibiashara
ii> Ambae ataweza kunipa mwongozo mzuri pindi napoanguka kibiashara
iii> Asiwe mchoyo wa idea mpya za kibiashara
iv> Alie mwaminifu na asietaka kujinufaisha / tajirisha kupitia urafiki
v> Ambae atakae ona /tambua tatizo langu la kibiashara ni kama lake nakulitafakari kiumakini
Nataka siriaz man/woman, ujinga pembeni
Wengi wananiuliza why kutafuta huku? Sababu zangu ni!
I> Ndugu zangu wapo busy sana isitoshe biashara na undugu haviendani
ii> Jirani zangu hao ndo moto wa kuotea mbali kila kukicha wanatizama kipi kinaendelea juu ya biashara muda wote kutaman nianguke
Sasa kwakuwa nime wakwepa hao,naomba asije mtu/watu wanaofanana nao.
Asanteni!