Habarini wapendwa.
Natumaini nyote mu wazima wa afya na mnaendelea vyema na majukumu ya kila uchwao.
Lengo la kuja kwenu humu ni kama heading inavyojieleza hapo juu.
Kifupi mimi ni kijana mwenye umri unao-range miaka 25-29 na ni graduate from a certain University na nipo katika soko la ajira.
Kimuonekano ni maji ya kunde na ni kimo cha kati.
Kiimani ni Moslem na kitabia ni very humble and down to the earth. Napenda sana UKWELI na napenda kuuishi.
Nahitaji MCHUMBA ambaye MUNGU akipenda nitakuja jenga naye familia mwenye sifa zifuatazo:
Umri wake u-range kati ya miaka 21-27, pia kielimu aanzie kidato cha sita na kuendelea.
Kimuonekano awe maji ya kunde, Stunning and Striking kiujumla, japo hili suala ni based on emotion.
Awe na tabia njema na MKWELI pia.
Kimakazi itakuwa vyema kama akiwa anapatikana/anaishi Dar es Salaaam, kwa sababu nami ndipo ninapoishi.
Kwa mawasiliano zaidi naomba uni-PM, pia unaweza niandikia ujumbe mfupi kupitia namba hii 0658 934741.
Ni matumaini yangu nimeeleweka sawia.
Ahsanteni Sana.
May GOD Bless You All.