Naamini mchumba anapatikana popote pale iwe sokoni, kanisani, kwenye social network n.k
Mimi ni kijana mtanzania, ni mkristo, nina elimu ya shahada n pia ni muajiriwa...
natafuta rafiki wa...
Habari wanajamii,
Natafuta marafk wa kike wanaopenda kuchat, kupeana kampani na kwenda out. Professionally nimesomea Information Technology, nimehitimu mwaka 2011. I am 28 years. Even older women...
Habari,
Kama wewe ni mdada mpweke naomba kampani yako, mimi nipo alone muda wotw ni mpweke saana nahitaji kampani yako please sichagui umri wala chochode! Mimi nina miaka 28.
Please in box...
Habari za kwenu wana jamii wenzangu.
Jamani nipo serious sana katika hili naomba kwa wew mdada uchukulie uzito unaposa uzi huu mizaha/utani weka pembeni.
Naomba...
Habari zenu,
Natumai ni wazima wa afya njema,mimi ni kijana nina umri wa kati ya miaka 30 hadi 37,nahitaji mke,kama una umri kuanzia huo hapo usisite kunitafuta au hata kama una zaidi ya hapo...
natafuta msichana wa kuchati nae awe na umri kuanzia miaka 17-20,dini cyo kigezo bt mkrixto ni xifa ya ziada,awe anapenda mabadiliko pia maendeleo tuweze kubadilixhana mawazo na awe mvumilivu...
Mimi ni mfanyabiashara maarufu wa kusafirisha magari kwenda nchi mbalimbali nje ya nchi natafuta mwenza wa kuishi nae awe mwanamke mrembo kati ya miaka 20 mpaka miaka 24.
Ambaye yuko tayari ni...
We can chat en share some experiences via watsappp by
+255714842163
mind cant be generated by u're own idea or by ze same same friends ...bt try to oversea other boundaries.....by'' abraham lincolin''
habari zenu wanajamvi...
Ninaimani muwazima wa afya.... dhumuni La kukimbiliaa apa jamvini, kwa mdada ambaye yupo single naomba ani PM maana nahitaji Faraja..
Nimwaka sasa toka niachane...
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 25 pia ni mtumishi wa Serikali katika sekta fulani natafuta msichana wa kuishi nae mwenye umri wa kuanzia miaka 18-22 awe tayari kuwa mama wa nyumbani mwaminifu...
Mkopoa Makaka zangu na Madada zangu
Natafuta binti wa kuoa au rafiki
Awe na elimu kuanzia OLEVEL na kuendelea
Awe mweusi asili ya Mwafrika
Maana sihitaji mweupe kwa sababu Mimi naishi...
Mengi yatajulikana baadae ila kiufupi tu natafuta mwanamke mwenye maadili. Nitakuwa 50 yrs old December hii but mama atafutwae awe na umri kuanzia 30 hadi hapo kwangu ila ningependelea awe kati ya...
Mko poa wana JF?
Kama wewe binti na unataka mahusiano + mapemzi+ urafiki ?
Au Hujaolewa na elimu chini ya Masters au O Level.
Wasiliana nami kupitia Email Yangu
redsonrivard@hotmail.com...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.