Nahitaji mke tushiriki kustragle pamoja,yani tuanze ote,mwanzo mgumu ila mambo yatajipa tukikomaa, nina 29 yrs, nahitaji mke mwenye sifa zifuatazo,mweye upendo,awe mkristu ingawa pia na asie nadini haina shida alimradi tabia,elimu 4m4 na kuendelea, kama amezaa basi watoto wasizidi wawili.
Awe na umri kuanzia 25 hadi 35, moderate shape,ulefu kuanzia cm150 na kuendelea anaehitaji ani text tu, naapokea sms zinazoeleza sifa zako, nitakupigia.
Ukiona sjakupigia baada ya siku 2, consider urself unsuccessful! Hiyo namba ni kwa sms tu, nimeblock incoming call usishangae ukiambiwa haipo,we tuma sms tu