fareed uziel
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 667
- 721
Shikamooni wadau,
Mi kijana wenu nahitaji mwanamke ambaye atakua mjasiriamali,mchakarikaji kama mimi na awe mzuri na mcheshi na asizidi 30, mimi ni mwanafunzi wa Chuo pia Mjasiriamali mdogo nataka mtu ambaye tunaendana ili kufika wote on top of food chain.
Lengo langu kuu ni kupata mtu ambaye tutaendana ili kujenga future yetu sababu life lenyewe hili la dola moja 2100 bila kuhustle kama chizi utaishia kufa maskini na nimekuja huku sababu huku sababu mabinti wa chuo wengi ni wa starehe tu sio wachakarikaji, Iam 24yrs old by the way.
Ni Pm kama upo serius sitojibu comment