Siku hzi kuolewa hadi uwe na Account iliyo active, maana swali la kwanza kwenye interview ni:
Unafanya kazi wapi??????
Itabidi wanawake wakiolewa wasiwe wanazaa.
Watu wanaogopa magoli kipa........hahahahaaha Apologise lady
Wanaume wa sasa mnaenda kinyume na maandiko.
Hakuna cha maandiko wala nini wanawake wa siku hizi pasua vichwa kweli, ujuaji mwingi si mmetaka haki sawa...kuolewa hadi account isome otherwise your done.........hahahaaha Apologise lady