THE BROKER
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 765
- 950
Hi ladies;
Sifa zangu: Ni msomi, mfanyakazi,Mkatoliki,mchaga,umri 30yrs na niko Dsm.
Mwanamke ninayemtaka angalau akidhi vigezo vifuatavyo;
Awe mkatoliki anayependa kusali na mwenye hofu ya Mungu,mchaga,umri 23-26,mfanyabiashara/kazi,mnene kiasi,elimu chuo(mwanasheria/mwalimu poa zaidi) na mwenye kujiheshimu kimavazi. Mwisho awe anaishi Dsm
Kwa asie na elimu awe mfanyabiashara hapo tutaenda sawa.
So plz pm utapata majibu