Hai natafuta rafiki wa kike nichati nae mimi nipo Morogoro nae awe wa Morogoro awe mkristo elimu form4 na kuendelea umri miaka 20 hadi 23. Ani PM alipo tayari tuwasiliane.
Wana Jf naomba ridhaa yenu na utayar wenu katika hili. Nahitaj na kutafita binti mlokole ambae yuko makini na tayar kwa kua katika mahusiano ya malengo. Pia asiwe muongo. Aliyekua tayar tafadhali...
Habari za majukumu wadau,
Nimeachana na mchumba wangu 1 month ago nimekuwa mtu wa mawazo (stress) sana. Nahitaji smart single lady wa kuchat nae atleast kunipotezea haya mawazo. Elimu yangu ni ya...
Ni mwanaume nina 26 yrs. Ninakazi yangu na maisha ya maana kabisa. Nina elimu ya juu sana nipo Morogoro nahitaji mchumba wa kuoa. Tabia haijalishi nitairekebisha mwenyewe nipo vizuri...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 20.Ni mrefu kias,rangi ya maji ya kunde,mtanashati,najua kupenda,niko vizuri in short.Nipo form 6 now.Natafuta msichana wa kuwa nae as my girl friend awe...
Habar zenu wadau,,,nmekuwa mdau wa hili jukwaa kwa miez kadhaa.ila nmegundua kuwa co vyema kuweka contact zako humu ndan hasa unapotafuta Girl friend ama mchumba.yaan kuna usumbufu mkubwa...
Baada ya kuchoshwa na vijana wenzangu,nimeamua kuja hapa kumtafuta mdada mtu mzima kidogo age 30 and above.Any interested woman tukutane PM.age yangu 28.OVER
Hello i am Aisen by Name and i am a Man
Natafuta rafiki wa kike waku chat nae na ku badilishana mawazo.ikiwa Dodoma ita kua poa zaidi
Kama uta hitaji ni PM.
Hello am 21 yrs old,niko Arusha ,natafta girlfriend ambaye ntakua nae 4 fun en kupeana nae raha...en km anahitaji 2kapime b4 kua wote ni poa....km uko tayari niPM ....kigezo ni kwamba uwe na miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.