Natafuta mpenzi wa kike

Natafuta mpenzi wa kike

Ellyson

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2010
Posts
1,714
Reaction score
405
Natafuta mpenzi.

Umri kuanzia miaka 28 hadi 50.

Asiwe mshabiki au mkereketwa wa CCM.

Niko Moshi kilimanjaro kwa aliye tayari tuwasiliane PM.
 
Itabid tuseme msemo mmoja wa marekani ** Haijalishi Kama Ataleta Maendeleo au la! Tutamchagua Obama Kuuonyesha Ulimwengu Kuwa Marekani Ni ya Kila Mtu.*** na sisi tunasema*** Haijalish Kama Ataleta Maendeleo au la! Tutamchagua LOWASA Kutoka UKAWA Kuuonyesha Ulimwengu Kuwa Tanzania Siyo ya ccm Pekee. Tuma ujumbe huu kwa wadau wasiopungua hamsini ili kuleta mabadiliko ya kweli. Lowasa oyeeeeee. Samahani kama utakwazika Lkn Tunaonesha Uzalendo Kwa Taifa Letu LA miaka 54 ya Uhuru likipitwa Na Kenya iliyochelewa kupata Uhuru kimiundo mbinu, elimu, utalii, kilimo, Katiba Mpya, Na hata Rwanda iliyotoka vitani inatupita sisi tuliojaliwa rasilimali adimu duniani.

Teh teh teh,viva EDO!
 
Heee! Natafuta mpenzi jamani sio kwamba napiga kampeni kwa Edo. Ila tusifanye makosa oct 25 Lowassa anatosha kabisa
 
Back
Top Bottom