Wapendwa na mimi najitokeza kujitafutia mwenza kama yupo anaye kidhi vigezo namkaribisha.
- Awe Muislam wa umri wa kuanzia 35 hadi 45 hivi
- Awe na Elimu kuanzia Diploma na kuendelea na...
Nahitaji mchumba aliyeserious na maisha na aliyekua na kuacha utoto,anasa na kufocus na maisha
Hata kama ni jobles ntafungua biashara asimamie.
Age 22-26
Asiwe mnywaji wa kilev chochote pls
Mimi...
Iam 24years old. Na sababu iliyonifanya nitafute mwanamke aliyenizidi umri ni kuwa hawa wanawake ambao ni rika langu wamekuwa hawajui kujali, kuthamini na hata hawana upendo wa kweli. Ninahitaji...
Natumaini hamjambo wana jamvi, kuwepo humu ndani fursa ya kufahamiana pia ili kutengeneza upendo na amani zaidi katika jamii yetu kwa njia ya urafiki, karibuni wadada kwa urafiki, nifikishie...
Hello.
Mimi ni kijana wa elimu. Nina degree moja sasa.
Nahitaji mwanamke, awe tayari kupendwa, na yeye apende pia. Kulazimisha mapenzi hapa kwangu hapana.
Nitazingatia sana afya, usiwe na STD...
Ndugu zangu,
Natafuta mke aliyetayari kuabudu mitume wote kwani mimi naamini dini zote ni sawa na binadamu wote ni sawa.
Siku ya ijumaa niko tayari/awe tayari kwenda msikitini na siku ya...
Mimi ni kijana wa kiume mkristo mwenye umri wa miaka 30 ni mtumishi wa serikali. Natafuta mchumba atakayekuwa mke mwema kwangu. Awe kabila lolote Tanzania, dini mkristo dhehebu lolote. Umri miaka...
Habari zenu wanajamvi,
Nimejitokeza humu kutafuta mchumba kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza.
Lengo langu ni kumpata Mwanamke ambaye atanifaa mimi kwa kuamini kuwa mchumba...
Habari zenu jamani,
Napenda sana marafiki wa kuchart nao na kubadilishana mawazo ya maendeleo ili maisha yasonge.. walonizidi umri watanifaa zaidi, umri wang miaka 24
Karibuni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.