For chat, social drinking and hangout.
Age 22 - 30, clean and sound mind. At least a diploma. Tall. Preferably 1 or 8 but not 0. Must have a smartphone and not a friend with dala dala. Non...
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza..rafiki wa kike namuhitaji ambaye kesho atakuwa mke kwangu...awe muslim,elimu ya aina yeyote,awe mweupe ama maji ya kunde,mnene kiasi kuanzia,umri...
Already got ma serious one!he is a long tym friend of mine not from jf and its almost a month now am in a serious relationship!no more replies,no more pm's!!
Thank u all!!
Mimi ni kijana ninajitegemea na kipato cha wastani nahitaji mwanamke mwenye miaka tajwa hapo juu wa kudate naye mimi nina miaka 31 hawa wa chini wengi wao sivutiwi nao kwa aliye tayari ani PM
heshima kwenu wakuu.natafuta marafiki Wa kike na Wa kiume especially ambao wapo chuo kama vile ardhi,Udsm na vyuo vngne dar lengo mi kushare ideas na vitu vingne plz naomba ushirikiano wenu...
Natafuta rafiki wa kike, mpole, mkweli, mwaminifu, sichagui dini, kabila, wala elimu yake, kama upo tayari ni pm ili tuweze kuwasiliana na kufahamiana zaidi. KARIBU
Habari Wana Jukwaa kwa pamoja!!
Mimi ni Mwanaume mwenye umiri wa miaka 30, Leo nimeamua kuweka wazi matakwa yangu kutoka moyani,\
Nahitaji Mke (kuoa) sasa Naamini ni muda muafaka na majua mke...
Nimegundua kwa haya majina ya akina Janeti Yana bahati sana mf Janeti Magufuri, Janeti Kagame, Janeti Museven, Janeti Kabila, Janeti Nkurinzinza na Janeti Sasse Ngoswe(Braza Ville)...Hao wote ni...
Kama kichwa cha habari kinavosema.
Mimi ni mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 29 .
Elimu Yangu ni Degree ya IT.
Nahitaji binti mrembo akiwa mweupe au mwarabu nitampa upendeleo.
Kama unavigezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.