Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Mimi ni mwanaume mtu mzima umri wangu ni miaka kati ya 45 na 50 natafuta rafiki mwanamke(kampani) nitakae kwenda nae ktk ukumbi wa Harusi Hapa Dar es salaam siku ya IJUMAA TAREHE 4/11/2015...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Natafuta mwanamke wa kuzaa naye, umri 18-30 aliyetayari anipm Ahsante sana
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana jf, Mimi ni kijana wa kiume nafanya Kazi katika company moja ya kifedha, nahitaji mchumba wa kuowa v igezo awe mweusi, Mnene wa Kati na siyo mrefu sana dini na elimu haijalishi ili...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
I need to chat with girls and not boys MY 4N NO.0764486960
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana JF, Mimi ni kijana wa kiume nahitaji mke wa kuowa mwenye sifa zifuatazo, Mweusi na mrefu wastani na unene wa kati. Elimu haijalishi na awe tayari kwenda kupima UKIMWI kabla ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naingia jukwaa hili nikiwasilisha hitaji langu la muhimu, natanguliza shukrani zangu za dhati kwa waanzirishi wa jukwaa hili,wametupafanya tupate pa kusemea. Naamini mke au mume anaweza...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Ni inbox age Kati ya 18 hadi 28
0 Reactions
0 Replies
829 Views
Mimi ni kijana wa miaka 25.Nilikuwa kimasomo nje ya nchi kwa muda mrefu,sasa nimerudi nikiendelea na kazi na biashara hapa Dar.Nimejaribu kuingia kwenye mahusiano na wasichana kadhaa lakini wengi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
nimekuja Ifakara jaman,nahitaji compan ya ku enjoy huku,nipo sicial saana,kama mpo mnaweza mka ni inbox,mimi ni mgeni huku PM Ruksa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta mume mwenye VVU! Awe na umri kuanzia miaka 30-45,umri wangu ni miaka 28.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Natafuta mke mwenye maumbukizi ya UKIMWI awe mtu mzima angalau awe na umri kuanzia miaka 40 na kuendelea mimi pia mtu mzima!mawasiliano ni sekenemboh@gmail.com au PM
0 Reactions
5 Replies
2K Views
mrembo,awe na elimu
0 Reactions
8 Replies
2K Views
hi, naitwa rafa natafuta rafiki wa kike wa kuchat nae... nipo morogoro...pm me if ur interested
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni PM fasta number nikuchek..... #sambazaupendo#
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni pm namba tu exchange mawazo na kujenga strong membershipi...... Asante
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu Nimekuwa na huyu binti kwa miezi 5 sasa, leo anadai hakunipenda ila alikuwa na mimi kwa sababu tu. Hii ni haki kweli? inaniuma sana.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari natumai ni wazima natafuta rafiki wakubadilishana mawazo, ningependelea kuongelea vitu vya maendeleo. Aliye tyr Ani pm,jinsia yngu ni mwanamke, kwa walioko dar itakua vzr, jion njema
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Natafuta marafiki wa kike wa kubadilishana mawazo aliye tayari ani pm...umri miaka 23 mwisho
0 Reactions
2 Replies
936 Views
Nina miaka 23 natafuta marafiki Wa kuchat nao kuhusu maisha ...girls & boys, 18-25 yrs. Mnakaribishwa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimekutwa na HIV mwezi wa 11, 2014. Yawezekana nimepata maambukizi katika kipindi kinachoanzia mwezi wa 8, 2014. Nimeogopa na kujitahidi kulinda afya yangu siku zote lakini imeshakuwa hivi...
2 Reactions
95 Replies
11K Views
Back
Top Bottom