Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Habari wana Jf, Najitokeza kwa mara yakwanza kusaka mke wakuoa kupitia jf kwani mke anapatikana popote alipo panga mungu.Mimi Ni mwanaume mwenye umri wa miaka 28 ni mfanya biashara natafuta mke...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hi all, I am a single gentleman, energetic, hard worker, Intrepreneur with vision and mission aged 28 years. Hereby looking for a single lawyer ready for a truth and future oriented relationship...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari wana Jf , Naitwa Yohana natafuta mke wa kuoa, kwa sasa sina kazi ya Uhakika. Mvumlvu na mstahimlivu karibu.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Naishi Dar, mimi ni mwanaume, hakuna vigezo wala mashariti. Tuonane PM kama uko tayari, wenye wapenzi pita kimya kimya.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari za hapa? Mimi ni Mwanaume mwenye umri kati ya miaka 45 na 50,nikiwa nina imani thabiti najitokeza hapa KUTAFUTA MWANAMKE MWENYE MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI,Kwa mwanamke aliyeguswa...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Jaribu kunitafuta plz mana nashindwa kusoma ajili yako tafadhali. If there one called ilham here find me plz coz niliapa ntampenda mwenye kuitwa jina hlo mana ilham wangu cjui katolokea wap jamani?
0 Reactions
0 Replies
952 Views
Mimi ni Samson, Namtafuta mdada yeyote anaeitwa Delila.. Tangu naanza kusikia habari za samsoni na delila sijawahi fanikiwa kumwona mdada anaeitwa ivo, kwaiyo namtafuta huyo mdada kama vipi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaume ila napenda kuwa na marafiki wa jinsia ya kike niwe ninabadirishana nao mawazo, ushauri kuhusu mambo ya kijamii na mambo mengine mengi kadri yanavyotokea katika jamii yetu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nlikua sijali kuhusu dini but I come to realize swala la udini bado lipo kwenye vichwa vya wasichana wengi. Nmekuwa na waschana wa kikristu coz wengi hufikiri mimi mkristu ila pale tunaposet...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafu mchumba yeyote ambaye si mwenye miaka 23 na kuendelea juu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habbari zenu humu jamvini,mie ni kijana wa kiume najitokeza humu kumtafuta bint/msichana ambaye nitaweza kumuoa ili tuweze kuliendeleza kurudumu hili la maisha,Vigezo vyangu mimi kwanza awe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naitwa Jeff naitaj msicha awe n miaka 23 na modo sura sio ishu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
thread nyingi zinazoletwa humu ni za wanaume wakisaka wanawake, na zimekuwa hazipewi kipaumbele kabisa na walengwa, yaani wanawake. Hii ina maana kuwa wanawake humu wana watu wao sana.. Ila...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 25 niliehitim chuo mwaka jana. Natafuta mwanamke ambae yupo tayari kuoana, awe na umri wa miaka 20-30 sna ubaguzi wa rangi, dini, wala kabila, karibu sana japo...
0 Reactions
0 Replies
890 Views
Wana Jf, Kuna dada ameonekana uchumi supermarket quality centre nina ujumbe wake muhimu sana nadhani anamiliki gari 'nadia ' maroon number T688 BVN naomba mwenye kumfahamu yeye au hii gari...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mimi ni kijana wa miaka 24, Kabila ni Mbena, Dini ni mkristo, Natafuta mpenzi sibagui dini,rangi wala kabila..aliyeguswa anicheki katika 0758581857.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Umri miaka isizidi 24 lakini inaweza pungua. Mimi ni 30. Aliye tayari anipm kwa maelezo zaidi -
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hi,j JF member. Mimi ni mwanaume natafuta rafiki wa kike baadae awe mke wa kuoa nitaeishi nae kwa miaka yote.Awe mtiifu,mkweli mwenye mapenzi ya dhati. Karibuni sana ni Pm kwa mawasiliano zaidi
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natafuta rafiki wa kike wa kuchati nae. Awe na elim ya kawaida at least form four na kuendelea. mimi nipo chuo mwaka wa kwanza. nawakaribisha wote
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom