Natumaini hamjambo wana jamvi, kuwepo humu ndani fursa ya kufahamiana pia ili kutengeneza upendo na amani zaidi katika jamii yetu kwa njia ya urafiki, karibuni wadada kwa urafiki, nifikishie ujumbe pm tafadhali!
Mmmmmm fursa nyengine zinatishaaa,sasa huyu Mkaka anasema yeye mahitaji yake tuu mbona haweki na yeye alivyo ili warembo wakachagua kama anafaa au hafai kwa matumizi ya Binadamu?
Wanaoelewa hatua za mambo ya mtandao katika mahusiano wanajua hatua ya kwanza ni kila mmoja kujieleza ,ya pili ni kila mmoja kutathmini, then maamuzi ya kuonana ama kutokuonana, wewe kama hujui tafadhali usipotoshe watu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.