Bill of Quantity
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 1,233
- 407
Hello.
Mimi ni kijana wa elimu. Nina degree moja sasa.
Nahitaji mwanamke, awe tayari kupendwa, na yeye apende pia. Kulazimisha mapenzi hapa kwangu hapana.
Nitazingatia sana afya, usiwe na STD yoyote, tutapima kuthibitisha hilo.
Umri ucheze kuanzia 28 mpaka 40, najua hapa mambo ya shule yatakuwa yameisha.
Vile vile ukiwa na business yako itakuwa poa sana because tutayaendesha maisha na ku expand economy na ku reduce costs.
Kwangu binafsi:
Ni kijana, urefu cm 190, naishi Dar es salaam
serious women, pm me or come direct at 0762972021/you may whatsapp it too