love searching

love searching

lup

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
2,514
Reaction score
2,744
za mda huu jamani... ctaki kuwa na maneno mengi ila ninaanisha.nahitaji mpz wa kike na sio kupotezeana mda nae awe anamaanisha.... 0688600155
 
Yule paleereeeeeer 0688600155. All the best
 
Tulia wewe kijana, haraka ya wapi?
Wanawake wengi hivi duniani wewe unahangaika kutafuta humu?
Kila mtu aliyeko JamiiForums anaonekana malaika hasa wakiandika hizi Fancy words,...Lakini in real life many are vicious wolves,....

Kwa mwendo huu jando na unyago virudishwe,.....Vijana mnahangaika.
 
Mkuu unamilik utajir wa kiasi gani?
 
Tuwekee CV yako tuone Kama Una vigezo sio le madebe matupu.
 
za mda huu jamani... ctaki kuwa na maneno mengi ila ninaanisha.nahitaji mpz wa kike na sio kupotezeana mda nae awe anamaanisha.... 0688600155

Kila la heri mkuu.. Ila usisite kutupa mrejesho nasisi wengine tuige mfano wako... mbele yetu nyuma yako tunakunyatia
 
Ukimpata marufuku kumwambia aache kuperuzi muda mwingi kwenye social networks maana unatafuta mwenye hobi ya kuperuzi,mfano Jf
 
Back
Top Bottom