Mchumba wa Kike muislam anahitajika

Mchumba wa Kike muislam anahitajika

mahmouddy

Senior Member
Joined
Jan 29, 2015
Posts
128
Reaction score
30
Habari zenu wanajamvi,

Nimejitokeza humu kutafuta mchumba kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza.

Lengo langu ni kumpata Mwanamke ambaye atanifaa mimi kwa kuamini kuwa mchumba anapatikana mahali popote,Mimi ni mfanyakazi serikalini na wala sina mtoto,ni mrefu wastani na mwembamba kihasi.

SIFA ZA MWANAMKE NINAE MUHITAJI

*Awe Muislam

*Awe na Elimu kuanzia kidato cha6, au mwenye uelewa mzuri

*Awe na umri usio zidi 22

*Awe mrefu wastani na mwembamba wastani

kwa yeyote aliye serious anaweza kunitafuta tukafahamiana vizuri,ila kama haupo serious plz sihitaji usumbufu

PM ruksa au e-mail (kbrama78@gmail.com)

Asanteni sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom