Ni mwanamke mwenye umri wa miaka 30
Kazi yangu mwl...natafuta mwanaume aliye tayari tufunge ndoa kuanzia 30yrs hadi 45
Awe muislamu na mapenzi ya dhati!
Aliye tayari aje Pm
Ahsante!
Habari wakuu,
Nina miaka 27, elimu yangu ni degree moja, sijawahi kuolewa na sina mtoto, dini yangu ni mkristo nataka kuwa mke. Ila ningependa kuolewa na mwanaume ambae ana mke tayari...
Habari wanajukwaa? Hitaji langu kuu ni kama nilivyoeleza hapo juu. Mimi ni kijana umri miaka 26, naishi Dar es salaam kikazi na makazi kwa ujumla. Kitaaluma ni mwanasheria, Elimu yangu ni diploma...
Habari za humu wapendwa.
Ni mwanamke mwenye 30yrs, nina degree ya kwanza na nimeajiriwa naishi dsm, mwili size ya kati. Natafuta mwanaume ambaye M'Mungu akijaalia awe mume wangu.
Sifa za...
Natumaini wote wazima
Nahitaji mwenza ambaye tukijaaliwa aje kunioa
Awe muislam(muhim saaaana)
Miaka 27-36
Elimu Degree
Awe anajishughulisha angalau
Kama anavaa na cjaridhika na uvaaje wake...
Habari wanajukwaa? Hitaji langu kuu ni kama nilivyoeleza hapo juu. Mimi ni kijana umri miaka 26, naishi Dar es salaam kikazi na makazi kwa ujumla. Kitaaluma ni mwanasheria, Elimu yangu ni diploma...
Mapenzi unautesa moyo wangu kila ninapo jaribu kumtafuta wakunifariji najiumiza zaidi let me to say love takes time[emoji125] [emoji126] you Los my mind [emoji144][emoji144] I wanna be...
Habari zenu wana jf mie ni mkazi wa kunduchi nimekuja hapa kutafta marafiki wa kuchat nao na kubadilishana mawazo sja target umri kwa sababu wazo jema halina umri hivo bas karibuni sana wenye nia...
Hello habari zenu
Sitazunguka sana naenda moja kwa moja kwenye point
Kwa walio serious tu plz
Mi ni kijana wa miaka zaid ya 30
Ninaishi Netherlands muda huu
Nimetamani sana kuoa mtanzania lakin...
Niende moja kwa moja kwenye point!
Ni wakati muafaka sasa baada ya kupitia changamoto nyingi sana kwenye kumpata mtu sahihi wa kupanga nae malengo aje kua mke siku za usoni, leo nakuja mbele...
Mke mwema anahitajika sana. Awe na sifa hizi
1. Mkristo au mwislam aliyetari kuwa mkristo preferably mpentekoste.
2. Elimu sio kigezo ila awe na akili nyingi za maisha.
3. Awe ni mwanamke mwenye...
Habari wadau
Kuna mwanamke ambae nilikiwa nae kwenye mahusiano baadae tukatengana baadae akaniambia ana mimba yangu so kuanzia analea mimba had leo mtoto amezaliwa hatuko kwenye mahusiano ya...
Naitwa David nipo Kahama Shinyanga, natafuta mwanamke wa kuoa awe maji ya kunde na awe tayari kuoana na kuanza kukuza uchumi nilio nao.Awe Tabora Shinyanga,mwanza,kigoma,singida.anipate kwa...
Habari wana jf,jina natafuta mke wakuoa atakaye kua na mapenzi ya dhati,umri wangu ni miaka 36,sina mtoto,wala sijawahi kuoa,sivuti wala kutumia kilevi,nina dgree ya pili,pia nimeajiriwadini...
Siku za hivi karibuni mke wangu amekuwa akionyesha tabia za kutojali,mfano,unaweza ukawa kazini ukamtext," hi baby" akajibu "P"
Ukiendelea anapiga kimya hajibu sms,.
Kwa kuwa muda wake wa...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 sasa elimu ni degree ni muajiriwa wa Serikali nina watoto watatu wakike 2 wa kiume mmoja.Nilioa bahati mbaya ndoa haikiweza kudumu kutokana na changamoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.