Natafuta marafiki wa kuchat nao na kupeana ushauri

canular

JF-Expert Member
Jan 7, 2018
858
812
Habari zenu wana jf mie ni mkazi wa kunduchi nimekuja hapa kutafta marafiki wa kuchat nao na kubadilishana mawazo sja target umri kwa sababu wazo jema halina umri hivo bas karibuni sana wenye nia kama yangu, mie ni mwanaume miaka 35 kwa atae kua tayari naomba ani pm namba yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom