Nimepata hitaji la moyo

ABiClever Junior

JF-Expert Member
Dec 14, 2016
947
545
Aisee msiweke mabango ukitaka kupata mwanamke JF jikoki kisha zama PM oneday utafanikiwa na usikate tamaa.

mimi niliweka mabango mpaka nikachoka mwisho nilikuwa nikiweka mabango ya kutania baada ya kuona nimefeli, ila kwa7bu nilikuwa na nia kweli ili nibidi niwe nafatilia tu uzi tofauti kwa bahati nzur nilikutana na bint mmoja kwenye uzi fulani japo hakuwa na picha ya sura yake wala jina kamili lakini haikunizua mimi kumfata pm niliweza kufanya hivyo hatimae tulipeana namba za simu takribani mwezi mmoja na wiki kadhaa tulikuwa tukiwasiliana na wiki moja kabla ya leo tuliweza kuwa na mahusiano siku ya jana imenibidi nije Moshi kuonana nae nashukuru tumelifanikisha hilo hakika ndio chaguo langu japo niko na miaka 22 na yeye 25 naamini mapenzi sio umri mapenzi ni kuridhiana tu.

Thanks JF.
 
Huwa najiuliza, ni baada ya unaemtafuta kumkosa shule, chuo, kazini, mtaani, kanisani au msikitini, ndio unakuja kumpata mitandaoni au huwa Hamupiti huko munakuja moja kwa moja mitandaoni. Kama jibu ni hili la pili, basi mnajiamini na mnahitaji hongera.
 
Hatimaye nimekutana nae duniani baada ya kumpata mtandao.
asante!
 
Kama umeweza kutana nae mtandaoni na ukamzukia huko moshi, unajua ni wangapi, amechat nao humu na wako pia wamemzukia
Umepoteza nauli kufuata papuchino mzee.
Anway tunasubiri nanyi 'Cc' zenu kama za smart na Mahounda
 
hahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom