Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Natafuta mchumba nina umri wa miaka 28. Nafanya kazi nina mtoto mmoja. Ni mfupi maji ya kunde. Nahitaji mume ambae alie seriously na maisha mwenye upendo mcha Mungu dini yoyote ila awe na umri...
6 Reactions
77 Replies
8K Views
Nina mtoto mmoja, umri wangu 28, naishi Ruvuma wilaya Namtumbo, kazi sina ya uhakika ila nimejipanga kilimo cha mpunga msimu ujao, nafanya kazi ila kipato chake kidogo kwa mwezi(teaching private...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wanajamii. Huku mtaani tukijaribu kujiweka karibu nanyi ili kuanzisha mahusiano yanayoweza kupelekea ndoa mnatuona hatuna maana kabisa. Lakini mnakuja kutafuta marafiki Jf na kwenye...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Hi,mimi ni mwanaume najitokeza kwa mara ya kwanza kutafuta mke ambaye nitaishi naye siku zote,mwenye umri wa miaka 23-28,elimu kuanzia kidato cha sita na kuendelea,dini mkristu,kabila lolote,awe...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari, Nafuta wife material mwenye mapenzi ya dhati, kwa aliye serious ani pm. Wasifu wangu Sina mtoto Sivuti sigara Nimejiajiri mwenyewe ili mradi mkono mkono uingie kinywani Elimu chuo kikuu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
.....
2 Reactions
60 Replies
3K Views
Ni tumaini langu wote wazima, Nipo hapa kumtafuta Soul mate wa maisha ambaye ana uhitaji wa kuanzisha familia Na kutulia kwa kuzingatia kwamba Mungu alituumba kila mtu na mtu wake kwa muda...
20 Reactions
165 Replies
14K Views
  • Closed
Habari, Mimi ni mwanamke wa kitanzania. Wasifu wangu:_ Mkristu-RC(Mcha Mungu) Self Employed(kipato cha kati,nayamudu maisha yangu) wasifu wa mchumba mtarajiwa -Mcha Mungu -Umri 27-36 yrs ol...
12 Reactions
112 Replies
8K Views
Hi! Naitwa holyholy nina miaka 29. Nina elimu ya Chuo kikuu but bado sijapata ajira. Niko hapa kutafuta mume mwenyewe umri kuanzia miaka 32-40 aliye na hali kama yangu mimi. Nina miezi kadhaa...
10 Reactions
111 Replies
17K Views
Natumai mna wakati mwema wapendwa! Mimi ni binti mwenye miaka 25, ninaishi na VVU. Nimechoka na hali ya upweke nahitaji mwenza wa kuishi nae as a husband and wife kwani naamini kuwa na VVU...
11 Reactions
33 Replies
4K Views
Mi ni mwanaume Wa miaka 30 naishi singida,natafuta make serious,mwenye sifa zifuatazo 1.umri miaka 20--28 2.mwenye hofu ya mungu 3.elimu angalau kidato cha NNE 4 mkiristo 5. Asiwe mweusi. Km upo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wana jf kwa majina naitwa Nailath Nassor 23yrs natafuta mtu wa kunioa,awe serious,mcha mungu,dini yoyote,kabila lolote,umri 25-30 na atakayekuwa tayari kwa vigezo ntakavyomwambia,atakaekuwa...
7 Reactions
84 Replies
11K Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 30 pia ni mlemavu Viungo(miguu) ninatafuta mke wakuoa, ninaishi mkoa wa pwani napia nimwajiriwa ktk taasisi fulani, nikimpata huyo mke nitampenda kwa dhati ewe mwanamke...
2 Reactions
41 Replies
7K Views
Habari wana jamvi ! Mimi ni kijana wa kiislamu nimesoma mpaka Master's Degree ni mtumishi wa Umma . Ninaishi Dar .Natafuta mwanamke mwembamba mrefu awe mweupe au maji ya kunde.kwa aliye tayari...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwanzo 2:18 Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye. Mwanamke aliye na vigezo vifuatavyo, kama uko tayari karibu PM zote zitajibiwa 1. Uvaaji...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mimi ni dada natafuta rafiki ambaye ni kaka. Nasisitiza rafiki wa kiume aliyekomaa kila upande. Itapendeza akiwa umri kuanzia miaka 40. Sihitaji mpenzi, na wala huyu hatakuwa mpenzi wangu ila...
9 Reactions
380 Replies
21K Views
Mie ni msichana na umri wa 23 pia nina mtoto mmoja ana miezi 6, nimezalishwa tu na mtu alonizalisha hanitaki na isitoshe ameoa mwanamke mwingine. Kwa hiyo atakae kuwa tayari kunioa na tuishi kwa...
23 Reactions
182 Replies
38K Views
Hello! Madada zangu ambao huwa mna aina zenu za wanaume ambao mnataka kuwa nao.. Utaona bidada anataka mwanaume ambae 1. Yupo focused 2. Ana mipango ya maisha 3. Mwenye hofu na Mungu 4. Handsome...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Kwenye mdema wangu nmepata samaki mmoja na hata siufungui huu mdema nauvunja kwa maana sitegi tena, maana mda mwingi wanaingia kaa tu but later thanks Lord God kwa kumpata huyu mmoja, naamini leo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hakika,kadri tunavyoelekea mwisho wa enzi za duniani,maisha yanazidi kuwa rahisi sana. Kwa sasa hivi hata wale wasioweza kutongoza vema,sasa wamebahatika kupata wenza. Tangazo hilo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom