Habari za muda huu kaka, dada na wadogo zangu?
Najiokeza kwenu leo nikiwa serious na hitaji langu likiwa serious pia. Natafuta/nahitaji mwanamke/msichana ambaye hajawahi fika au kufikishwa...
Mimi ni Kijana wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 28.
Nina Elimu ya Diploma na nipo kwenye ajira.
Najitokeza humu kutafuta Mwanamke ambae nataka awe mke wangu.
Awe na sifa zifuatazo, Mweupe, urefu...
Ndoto yangu nikuwa na mwanaume doctor haijatimia, natafuta mume mcha Mungu hata awe doctor au yeyote. Mimi najihusisha na mambo ya kisheria, mimi ni mchaga mrefu saizi ya kati, umri wangu ni miaka...
Hodi Jamvini, jamani mwenzenu niko hoi,pamoja na kashfa,visa na matukio ya hapa na pale kuhusu Wema Sepetu,mwenzenu binti huyu ananitia wazimu,sijui nielezee vipi,lakini naamini mnanielewa,nadhani...
Habari JF,
Nimeamua kujitokeza hadharani kuongeza kasi ya utafutaji. Nahitaji kuoa na kuanza kulea familia.
Mtakaonikejeli mbarikiwe, hatukuumbwa sawa wote, pia tunatofautiana malezi na fursa...
Naamini mapenzi ni kama maua yanaweza kuota popote, siku zote atafutae huwa hajui kama atapata lini na wapi. Wapenzi wanaweza kutana popote, yawezekana ikawa msibani, safarini kwenye harusi...
Natafuta rafiki wa kike anaejua computer vizuri.
Ajue programming languages kama Php,java,c++ etc.
Awe na uelewa wa mambo ya web designing.
Mwenye uwezo wa kufikiri projects kubwa zenye maana...
Natafta mke mapema tu kwa ajili ya kuitafta pepo....awe anajua dini ya kiislam vzuri na Kama hajui awe tayari kukaa chini na kusoma..tusisumbuane kabisa juu ya kutekeleza amri Za mungu
Ikiwemo...
Habari,
Mimi ni mwanaume wa miaka 25, elimu nina shahada ya biashara, kazi mwajiriwa, nina nyumba nimejenga, kazi ya uhakika, nitamtunza, kumjali na kumpa mahitaji ya msingi kama mke, ninatafuta...
Salama wakuu ninatafuta mwanamke yoyote aliyeko serious kutoka mkoa wa Mwanza kwa ajili ya urafiki na mambo mengine yatafata.
Kuhusu mimi
Mkirsto miaka 27
Elimu Bachelor Degree
Nimeajiliwa na...
Kwa ufupi sana ni kwamba mke mtarajiwa na ambaye yuko very serious kwa ajili ya kuanzisha uhusiano na baadaye kuoana, ninamuhitaji sana tena sana.
Kwa upande wa sifa anazotakiwa kuwa nazo ni...
Nina maswali mawili kwa members mnaoanzishaga threads za kutafuta partiners(boyfriends)
1. Kwanini swala la umri mnawekaga mkubwa mno mostly 30+?
2 . Mnapata hao boyfriends kweli?
Sent using...
Nina miaka 50 natafuta mke wakuoa , nina watoto wawili nilio zaa na Mzungu.
Sifa zinazo hitajika
1 awe mtu mzima zaidi ya miaka 35
2 Akiwa alishazaa au bado hakuna tatizo
3 Asiwe tegezi...
matumaini yangu woote wazima.Nimejitokeza kwenu naitaji mwenza[mke]
kwa majina naitwa steven nipo songea
umri wangu miaka 24
elimu yangu ni ya kidato cha nne
najishughulisha na ufundi wa magari...
mie ni msichana mwenye umri wa miaka 28,nimeajiriwa serikalini,natafuta mchumba ambaye tunaweza funga pingu za maisha,umri awe na miaka 29-35,awe mkristo rc,elimu degree na kuendelea,mwenye vigezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.