Natafuta mke wakuoa atakaye kua na mapenzi ya kweli

Visionor

Member
Nov 9, 2017
20
14
Habari wana jf,jina natafuta mke wakuoa atakaye kua na mapenzi ya dhati,umri wangu ni miaka 36,sina mtoto,wala sijawahi kuoa,sivuti wala kutumia kilevi,nina dgree ya pili,pia nimeajiriwadini mkristu,mke nimtakaye awe na umri kati ya 25-29,elimu kuanzia dgree na kuendelea,awe mweupe,awe ameajiriwa au kuajiriwa,awe mkristu hata kana ni muislamu akubali kubadili dini,sina ubaguzi wa kabila,karibu sana kwa atakaye kidhi vigezo .kwa aliye serious anitafute kwa 0783897621 au ani pm tuyajenge.
 
Mkuu tulia uandike vizuri umeandika utafikiri unakimbizwa

Andika kwa utulivu

Maana hitaji lako linahitaji umakini

Mungu akutangulie katika hitaji lako
 
Habari wana jf,jina natafuta mke wakuoa atakaye kua na mapenzi ya dhati,umri wangu ni miaka 36,sina mtoto,wala sijawahi kuoa,sivuti wala kutumia kilevi,nina dgree ya pili,pia nimeajiriwadini mkristu,mke nimtakaye awe na umri kati ya 25-29,elimu kuanzia dgree na kuendelea,awe mweupe,awe ameajiriwa au kuajiriwa,awe mkristu hata kana ni muislamu akubali kubadili dini,sina ubaguzi wa kabila,karibu sana kwa atakaye kidhi vigezo .kwa aliye serious anitafute kwa 0783897621 au ani pm tuyajenge.
Aiseee hand writing ya degree ya pili all the best mkuu
 
Kuweza kujua kuwa atakua na mapenzi ya kweli ama la, ni jambo linalohitaji muda, hivyo hutaweza kumpata kwa njia hii..pole sana mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom