Nataka niwe mke wa pili

Loveeness78

JF-Expert Member
Oct 9, 2016
280
294
Habari wakuu,

Nina miaka 27, elimu yangu ni degree moja, sijawahi kuolewa na sina mtoto, dini yangu ni mkristo nataka kuwa mke. Ila ningependa kuolewa na mwanaume ambae ana mke tayari. Nitafurahi sana kama akitokea mtu mwenye nia ya kweli.

Natanguliza shukrani.
 
Hongera zako na kila la heri. Kama hutajali swali langu kwanini unataka uolewe na aliyekuwa ndani ya ndoa? Akitokea ambaye hayumo ndani ya ndoa utamkataa?

Habari wakuu!
Nina miaka 27, elimu yangu ni degree moja, sijawahi kuolewa na sina mtoto, dini yangu ni mkristo. nataka kuwa mke. Ila ningependa kuolewa na mwanaume ambae ana mke tayari.

Nitafurahi sana kama akitokea mtu Mwenye nia ya kweli.
Natanguliza shukrani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom