Mwanaume ahukumiwa kwenda Jela Miaka 3 kwa kumtumia meseji za matusi Ex wake

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,026
1,621
Mahakama ya Eldoret imemhukumu Fidel Ochieng kifungo cha miaka 3 gerezani au kulipa faini ya Ksh.100,000 sawa na takriban Tsh. Milioni 1.7 baada ya kukiri kutuma ujumbe wa matusi kwa aliyekuwa Mke wake Sharon Bwonya, kupitia simu yake ya mkononi

Mwendesha mashtaka aliiambia Mahakama kuwa maneno aliyoyatumia Ochieng katika ujumbe huo, ambao pia uliwahusisha wazazi wa Sharon, yalikuwa ya kashfa ambayo karani wa Mahakama alishindwa kuyasoma hadharani

Akijitetea mbele ya Jaji Nancy Barasa, mshtakiwa aliomba Mahakama imsamehe, akisema kuwa aliandika ujumbe huo kwa hasira alizozipata baada ya kugundua kuwa Mkewe, ambaye alidai kumpenda sana, alimwacha kutokana na ushawishi wa Wazazi wake

.....

Eldoret man jailed for 3 years over sending abusive messages to estranged wife

Eldoret man jailed for 3 years over sending abusive messages to estranged wife

A man has been sentenced to 36 months (3 years) in prison or to pay a fine of Ksh.100,000 after he pleaded guilty to sending abusive messages to his estranged wife.

The Eldoret court was told that Fidel Ochieng sent offensive messages to Sharon Bwonya using his mobile phone, an act he allegedly carried out between July 10 and July 19 in Eldoret.

The prosecutor told the court that the words Ochieng wrote the messages, which were also addressed to the complainant's parents, were very vulgar and the court clerk was embarrassed to read them in court.

Defending himself before the Judge Nancy Barasa, the defendant asked the court to forgive him, saying that he wrote the messages out of anger he developed after realizing that his wife, who claimed to love him very much, separated from him due to the influence of her parents.

Giving his verdict, Barasa said the words used by Ochieng were disrespectful to the complainant and her parents.

The accused was given 14 days to appeal.

Chanzo: Citizen Digital
 
Back
Top Bottom