Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

Watu wengi wajitokeza katika maeneo mbalimbali jijini Nairobi, Kenya kuandikisha utambulisho wao wa kipekee kupitia mboni ya jicho kwenye Kampuni inayoitwa Worldcoins, ambapo kama malipo wanapewa...
2 Reactions
4 Replies
943 Views
Rais wa Kenya, William Ruto ametoa mwongozo mpya wa usafiri kwa Maafisa wa Serikali nchini Kenya ambapo amesema kila Afisa wa Serikali anapaswa kusafiri kwenda nje ya Nchi kwa siku 45 tu kwa mwaka...
2 Reactions
5 Replies
744 Views
Odinga anazidi kukaza,amkalia Ruto kama Vile Beberu USA alivyomkalia Putin Hadi akakimbia Mkutano wa Brics 😁😁 ----- Rais wa Kenya, Dk William Ruto, amesema yuko tayari kufanya mazungumzo kuhusu...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Makundi ya Utetezi wa Haki Za Binadamu yamemkosoa Rais William Ruto kwa kusaini Sheria ya Msingi ya Umoja wa Afrika iitwayo Malabo Protocol ambayo itamfanya asiweze kufunguliwa Mashtaka moja kwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mahakama ya Nairobi imemhukumu mchungaji, James Njuguna kifungo cha miaka 70 jela baada ya kupatikana na hatia ya kubaka watoto wadogo wawili wenye umri wa miaka 11 na 14 katika nyakati tofauti...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Why would Nigerian need Visa to enter Zambia? Unlike African countries need Visa to enter another African country. WHY?
1 Reactions
2 Replies
541 Views
France's situation on the African landmass has disintegrated essentially as of late, and it has lost a considerable lot of the regions it colonized there for a long time. Western nations...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Inspekta Jenerali wa Polisi, Japhet Koome amewashutumu Wanasiasa kwa kukodi maiti za Watu ambao walifariki kwa sababu mbalimbali iliwemo Magonjwa na Ajali kutoka Vyumba vya kuhifadhia Maiti na...
0 Reactions
0 Replies
737 Views
Bodi ya Dawa na Sumu Nchini humo (PPB) imewaonya Wanawake dhidi ya matumizi ya Yoni Pearls, Dawa zenye Mchaganyiko wa Mimea mbalimbali ambazo zimepata umaarufu kwa kudaiwa kusafisha au kutibu...
1 Reactions
5 Replies
8K Views
MY TAKE: Wakenya mlioko hapa. tuambieni nini kinaendelea huko kwenu? Wakenya wanapata taabu Sana kwakweli
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Tanzania opposed to Rajoelina leadership 2009-03-21 12:03:14 By Felister Peter Tanzania has condemned the forced resignation of Madagascar President Marc Ravalomanana and said it does...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Mwanasiasa huyo ambaye ni kiongozi wa Chama cha Narc-Kenya amesema wakati umefika wa Serikali za Marekani na Kenya kuwa na mazungumzo ya mwisho kuhusu malipo hayo ya walioathiriwa na tukio...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Pamoja si pamoja, Ruto pamoja na kua Rais kiukweli kachakaa sana na ile nuru hata usoni haipo yaani mwaka mmoja kachakaa kachoka hatari.
14 Reactions
70 Replies
6K Views
Hayati Magufuli aliwahi Kusema Kuongoza Nchi ni kazi sana. Check Mwamba [emoji116]
0 Reactions
8 Replies
2K Views
ni nani huyu ambaye hata NMG hawasemi jina lake .. https://t.co/vvzaWtB9WF?amp=1
10 Reactions
755 Replies
74K Views
Mkenya Jonathan Ogolla amewaomba Watanzania wawe wanafuatilia Usaili wa Mawaziri wa Kenya na Viongozi wengine wanaoteuliwa na Rais na kuthibitishwa na Bunge Ogolla anasema kila Msailiwa hutakuwa...
0 Reactions
0 Replies
769 Views
Serikali ya Kenya imepanga Kushirikiana na sekta binafsi Kwa kukodisha Uendeshaji wa Bandari Zake Zote 5 kubwa ikiwemo Mombasa/ Dongo Kundi Ili kuleta ushindani na kukabiliana na Bandari ya Dar...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kamati ya Bunge ya Kazi na Ajira imeanza kuandaa Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Utumishi inayotaka Umri wa Kustaafu upunguzwe kutoka Miaka 60 ya sasa hadi 55 ili kuwapa nafasi Vijana...
2 Reactions
15 Replies
5K Views
Back
Top Bottom