Binti wa Rais Ruto ni Mjasiriamali katika kilimo, anafuga nyuki, analima, anasaidia vijana

JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
7,079
14,942
Tukisema Kenya, ni, akili kubwa, tuwe tunaelewa, binti wa Raisi yupo anahojiwa Citizen, ni mjasiriamali katika kilimo, anafuga nyuki, analima, anasaidia vijana.

Huku kwetu ni nadra Sana kusikia watoto wa wakubwa wanafanya ni ni! Kama, sio, wapo, wamepenyezwa sekta tamu, watakuwa, wanafanya, ufisadi kila kona ya nchi.
 
Back
Top Bottom