Katiba Mpya tuwe na Rais wa JMT, Rais wa Zanzibar na Makamu wa kwanza wa Rais, Waziri mkuu na Makamu wa pili wa Rais!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,992
142,007
Ni mapendekezo tu

Rais wa JMT akitoka Zanzibar Waziri mkuu awe Makamu wa kwanza wa Rais wa JMT na Rais wa Zanzibar awe Makamu wa Pili wa Rais wa JMT

Rais wa JMT akitoka Bara
basi Rais wa Zanzibar awe Makamu wa kwanza wa Rais wa JMT na Waziri mkuu awe Makamu wa Pili wa Rais wa JMT

Nawasilisha!
 
Kwa Tozo za watu gani? Why all this costs?; Kuna shida gani ya kuwa na nchi moja?! Rai's mmoja, vice wake then PM. The rest ni magavana tu. Mbona kudislove Zanzibar ni rahisi tu?! Tanganyika the giant ilipotea kwenye uso wa Dunia sembuse kakisiwa?😡😡
 
Ni mapendekezo tu

Rais wa JMT akitoka Zanzibar Waziri mkuu awe Makamu wa kwanza wa Rais wa JMT na Rais wa Zanzibar awe Makamu wa Pili wa Rais wa JMT

Rais wa JMT akitoka Bara
basi Rais wa Zanzibar awe Makamu wa kwanza wa Rais wa JMT na Waziri mkuu awe Makamu wa Pili wa Rais wa JMT

Nawasilisha!
KATIBA MPYA IIRUDISHE KWANZA NCHI YA TANGANYIKA KISHA TUWE NA MARAIS 3 KINARA WAO AWE RAIS WA JMT HAWA WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR WAWE WATENDAJI
 
Ni mapendekezo tu

Rais wa JMT akitoka Zanzibar Waziri mkuu awe Makamu wa kwanza wa Rais wa JMT na Rais wa Zanzibar awe Makamu wa Pili wa Rais wa JMT

Rais wa JMT akitoka Bara
basi Rais wa Zanzibar awe Makamu wa kwanza wa Rais wa JMT na Waziri mkuu awe Makamu wa Pili wa Rais wa JMT

Nawasilisha!
Haitakiwi Mzanzibari awepo kwenye nafasi yoyote ya serekali iliyo nje ya mambo ya muungano., kwasababu hayo ni mambo ya Tanganyika. Na hivyo hivyo kwa Mtanganyika.
 
Yani Nyerere aliposema Edinburgh-scoltland basi akaamua auchukue ule mfumo wa Mungano wa kati ya Scotland na England na kuuleta huku hivyo hivyo.
 
Kuwe na Rais wa Jamhuri ya Muungano ambaye ni ceremonial the mawaziri wakuu wawili.

Waziri mkuu wa zanzibar na waziri mkuu wa Tanganyika.

Mawaziri wa kuu ndio wanakua wakuu wa serikali na wanapatikana kutoka chama ambacho kimepata wabunge wengi ambao wanafikia 60% ,

Kama chama kimoja hakifikishi 60% basi chama chenye wabunge wengi kirubusiwe kuungana na chama kingine kuunda serikali.

Kazi za Rais wa Jamhuri

1. Amiri jeshi mkuu
2. Kuteua mabalozi
3. Kuteua majaji
4. Kupokea barua za mabalozi
5. Kuteua mawaziri wakuu ( zanzibar na Tanganyika) baada ya kupigiwa kura na bunge
6. kuteua wakuu wa vyombo vya ulinzi baada ya kuidhinishwa na bunge
 
ninachojua nchi hii haijawahi kuwa na muungano ,ni makubaliano Kati ya nchi mbili ziishije na kusimamia serikali zake ,ndo kitu ambacho kipo tangu enzi za meal. Hadi leo.
Muungano ni kuwa na serikali moja huo ndio muungano ,na hapo tungeiita United States of Tanzania (jamhuri ya muungano wa Tanzania) Kama ilivyo USA.
 
Unayo hoja inayotakiwa kutazamwa. Ila unachosema changamoto yakle ni kuwa Wazanzibari hawawezi kukubaliana na hiki unachosema. Sisi WaTanganyika hatuna shida sana. Changamoto ipo kwa hao Wazanzibari.
 
Ni mapendekezo tu

Rais wa JMT akitoka Zanzibar Waziri mkuu awe Makamu wa kwanza wa Rais wa JMT na Rais wa Zanzibar awe Makamu wa Pili wa Rais wa JMT
Duh!, kumbe wewe ni dogo sana!.
Rais wa JMT akitoka Bara
basi Rais wa Zanzibar awe Makamu wa kwanza wa Rais wa JMT na Waziri mkuu awe Makamu wa Pili wa Rais wa JMT

Nawasilisha!
Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , kwanza nikupongeze!
kwa pendekezo hili, kwasababu inaonyesha wewe ni kichwa cha ukweli kwasababu huo ndio uliokuwa utaratibu enzi za chama kimoja.

Tulipoanzisha vyama vingi, ma Political analysts wa ukweli wakaieleza ukweli 'the status quo' kuwa there is no way CCM inaweza kushinda Zanzibar, hivyo kama rais wa Zanzibar ni VP, then there is possibility Zanzibar ikatwaliwa na opposition, hivyo atakuwa VP wa JMT, and just incase kama issue ya March 17 happens?!. Ndipo ile mwaka 1984, tukafanya mabadiliko ya katiba yetu na na kumscrap madaraka na mamlaka yote rais wa Zanzibar ni just nobody kwenye set up ya muungano!. Ili kumlindia heshima, alifanywa ni Waziri asiye na Wizara Maalum, hivyo kuingia kwenye cabinet ya JMT.

Ndipo hiyo 1984 Zanzibar nao ndio wakapitisha katiba yao.

Wasiwasi huo wa Zanzibar kushikwa na opposition ni kweli, ndio maana ile 2015, niliwashauri vizuri tuu Zanzibar Kumuepushia aibu ya Kushindwa, CCM isimsimamishe Dr. Shein
hawakusikia, tukaenda kwenye uchaguzi wa 2015 na hilo kweli likatokea!. Ndipo ikambidi Jecha kupindua meza!, ila ukweli ni huu Elections 2015 - Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar, Maalim Seif na CUF ndio walioshinda
P
 
Back
Top Bottom