Katiba kibogoyo

Aug 4, 2014
20
36
Misingi yote na nchi na utawala huwekwa kwenye katiba ila pale ambapo katiba haina meno basi ni maarafa kwa nchi husika. Katiba ni msingi wa kila jambo kuanzia uwajibikaji na utunzaji wa rasilimali za nchi.

Tujiulize ni viongozi wangapi wanaitia hasara serikali kwa either kufanya maamuzi ya kijinga katika miradi mbalimbali na hawawajibiki kwa chochote?

Wahuni wanasem business as usually. why tumekubali nchi yetu kuwa business as usually wa viongozi tu? Kwann watanania hatuna uchungu wa jinsi nchi yetu inavyoliwa na mchwa hawa wa business as usually?

Je ni kweli tumekuwa simba kibogoyo? Je ni kweli tumekubali kuwa wapumbavu na wajinga tukawaachia nchi yetu watu wachche wafanye watakavyo?

DOWANS, RICHMOND, MIKATABA MIBOVU YA MADINI, NGORONGORO, BANDARI, UBADHILIFU KWENYE MIRADI MBALIMBALI hii yote ni zao la katiba kibogoyo sasa n muda wa kuamua kuwa vibogoyo milele au kuleta sauti kwa pamoja ili watu wachukuliwe hatua na kuleta katiba yenye meno.

TIME IS NOW TO ACT IF YOU LOVE YOUR COUNTRY, RAISE UP YOUR VOICE TANZANIANS

Screenshot 2023-07-19 221157.png
 
Imagine una katiba kibogoyo, bunge kibogoyo, halafu una wananchi wenye vibyongo!!! Yaani ni shida juu ya shida.
 
Back
Top Bottom