Mzee Kinana Watanzania wanataka Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi tu, hizo porojo zako unapoteza muda bure

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,711
218,257
Wote Naamini kwamba Mmemsikia Mzee Kinana , alichozungumza , nadhani sasa Mzee wetu umri umeanza kumtupa mkono (Ni kawaida kwa binadamu kuzeeka na kupoteza uwezo wa kufikiria ) , Mzee wetu anadai kwamba kinachotakiwa ni kubadili tu sheria za Uchaguzi , na wala hakuna haja ya Katiba Mpya wala Tume Huru ya Uchaguzi.

Yaani Wasimamizi wa Uchaguzi waendelee kuteuliwa tu na Mwenyekiti wa CCM, Yaani Mahera , Kailima na Kagulumujuli waendelee tu kuteuliwa kusimamia uchaguzi ila tubadilishe sheria tu.

Nataka Mzee Kinana aelewe kwamba tunachohitaji ni Katiba Mpya itayovunjilia mbali MFUMO WOTE WA UCHAGUZI, ambapo kuanzia utaratibu wa uandikishaji wapiga kura , upigaji kura hadi kuhesabiwa utasimamiwa na Tume Huru itakayowekwa na Wananchi wenyewe Nchi nzima , hatutaki wizi , udanganyifu wala kupita bila kupingwa .

Kinana asiogope Tume Huru, wao kama wameleta maendeleo wana hofu ya nini tena , Si wawaonyeshe wananchi Ma fly over na DP WORLD , shida iko wapi ? watachaguliwa tu , Muda wa kutegemea Ujanja ujanja wa masanduku ya kuchomekea au OFISI KAMA ILE ALIYOISIMAMIA 2015 KULE MASAKI umekwisha , Onyesha maendeleo ya CCM kwa miaka yote , Chadema waonyeshe porojo zao halafu Wananchi Wachague wenyewe , Njama zozote za uharamia hazitakubalika na yeyote .

IMG-20180405-WA0006.jpg
 
Wote Naamini kwamba Mmemsikia Mzee Kinana , alichozungumza , nadhani sasa Mzee wetu umri umeanza kumtupa mkono ( Ni kawaida kwa binadamu kuzeeka na kupoteza uwezo wa kufikiria ) , Mzee wetu anadai kwamba kinachotakiwa ni kubadili tu sheria za Uchaguzi , na wala hakuna haja ya Katiba Mpya wala Tume Huru ya Uchaguzi .

Yaani Wasimamizi wa Uchaguzi waendelee kuteuliwa tu na Mwenyekiti wa ccm , Yaani Mahera , Kailima na Kagulumujuli waendelee tu kuteuliwa kusimamia uchaguzi ila tubadilishe sheria tu .

Nataka Mzee Kinana aelewe kwamba tunachohitaji ni Katiba Mpya itayovunjilia mbali MFUMO WOTE WA UCHAGUZI , ambapo kuanzia utaratibu wa uandikishaji wapiga kura , upigaji kura hadi kuhesabiwa utasimamiwa na Tume Huru itakayowekwa na Wananchi wenyewe Nchi nzima , hatutaki wizi , udanganyifu wala kupita bila kupingwa .

Kinana asiogope Tume Huru , wao kama wameleta maendeleo wana hofu ya nini tena , Si wawaonyeshe wananchi Ma fly over na DP WORLD , shida iko wapi ? watachaguliwa tu , Muda wa kutegemea Ujanja ujanja wa masanduku ya kuchomekea au OFISI KAMA ILE ALIYOISIMAMIA 2015 KULE MASAKI umekwisha , Onyesha maendeleo ya CCM kwa miaka yote , Chadema waonyeshe porojo zao halafu Wananchi Wachague wenyewe , Njama zozote za uharamia hazitakubalika na yeyote .

View attachment 2725552
Hawa Wazee wanajiona wanachotaka wao basi ndiyo hicho hii NCHI ni yetu sote sio ya CCM mfano mzuri mmeuona kwenye Sakata la Bandari
 
Huyu mzee si wampumnzishe, hawa wazee ndo wanatuharibia nchi
Anataka kumwiga mwenzake wa Namibia, 82yrs bado ni president!!,hii ni craze, kabla ya kuja huku lingusenguse kustaafu kwa amani na kujinywea ulanzi, yeye akawa analazimisha stress za Urais
 
Wote Naamini kwamba Mmemsikia Mzee Kinana , alichozungumza , nadhani sasa Mzee wetu umri umeanza kumtupa mkono (Ni kawaida kwa binadamu kuzeeka na kupoteza uwezo wa kufikiria ) , Mzee wetu anadai kwamba kinachotakiwa ni kubadili tu sheria za Uchaguzi , na wala hakuna haja ya Katiba Mpya wala Tume Huru ya Uchaguzi.

Yaani Wasimamizi wa Uchaguzi waendelee kuteuliwa tu na Mwenyekiti wa CCM, Yaani Mahera , Kailima na Kagulumujuli waendelee tu kuteuliwa kusimamia uchaguzi ila tubadilishe sheria tu.

Nataka Mzee Kinana aelewe kwamba tunachohitaji ni Katiba Mpya itayovunjilia mbali MFUMO WOTE WA UCHAGUZI, ambapo kuanzia utaratibu wa uandikishaji wapiga kura , upigaji kura hadi kuhesabiwa utasimamiwa na Tume Huru itakayowekwa na Wananchi wenyewe Nchi nzima , hatutaki wizi , udanganyifu wala kupita bila kupingwa .

Kinana asiogope Tume Huru, wao kama wameleta maendeleo wana hofu ya nini tena , Si wawaonyeshe wananchi Ma fly over na DP WORLD , shida iko wapi ? watachaguliwa tu , Muda wa kutegemea Ujanja ujanja wa masanduku ya kuchomekea au OFISI KAMA ILE ALIYOISIMAMIA 2015 KULE MASAKI umekwisha , Onyesha maendeleo ya CCM kwa miaka yote , Chadema waonyeshe porojo zao halafu Wananchi Wachague wenyewe , Njama zozote za uharamia hazitakubalika na yeyote .

View attachment 2725552
Kuwa na adabu wewe fisi
 
Back
Top Bottom