Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Ramani hii ina vyumba vitatu vya kulala Living room Kitchen Store Dining Common toilet Nitafute whatsapp 0678418272
3 Reactions
7 Replies
500 Views
Kuna vitu 7 ukivipuuzia sasa, baadaye utajilaumu sana: 1. Mahusiano na Familia Ukiwa na pesa zote duniani lakini familia yako imevunjika, nyumba yako ni tupu. Weka muda kwa mke/mume, watoto...
20 Reactions
30 Replies
822 Views
DeletedMember281674
Uchaguzi kati ya TRMC Bond Fund yenye riba ya 11% kwa muda wa miaka 5 na i-Trust Bond Fund yenye riba ya 13% kwa muda wa miaka 4 unategemea malengo yako ya uwekezaji, kiwango cha hatari...
0 Reactions
6 Replies
182 Views
Siku hizi watu/matajiri hawaezeki kabisa kwa vigae. Shida nini? "Pale penye nyumba ya vigae, nje kuna Prado na Musso" hapapo tena. Kwa maoni yangu vigae vina class yake ambayo haichuji. Sasa...
1 Reactions
6 Replies
387 Views
MAANA YA SETBACK KWA LUGHA RAHISI Setback ni nafasi ya wazi ambayo lazima uache bila kujenga kati ya nyumba yako na mpaka wa kiwanja chako. Mfano rahisi kama hauna elimu ya ujenzi: Fikiria...
12 Reactions
25 Replies
844 Views
Habari wanna jukwaa. Asanteni kwa muda wenu. Nipo Goba, Dar es Salaam. Nahitaji fundi Ujenzi mwenye uzoefu mzuri wa kujenga fence ndefu katika ardhi ya Dar es Salaam. Pia nahitaji fundi mzuri wa...
2 Reactions
4 Replies
233 Views
Baadhi ya wananchi wamevamia eneo la bonde la Buyuni Kata ya Buyuni wilayani Ilala- Dar es Salaam na kupima viwanja kinyume na utaratibu. Eneo hilo lipo ndani ya Mradi wa Viwanja 20,000 Buyuni...
0 Reactions
1 Replies
273 Views
TENGERU HOUSE Habari zenu. Nikiwa mdau wa ubunifu na usanifu majengo, nimeona niwashirikishe kwa ufupi namna mimi na baadhi ya wasanifu majengo tunavyofikia utekelezaji wa majengo na bidhaa...
26 Reactions
100 Replies
10K Views
  • Redirect
💧 KELVIN HK BUILDER'S 💧 🏗️ Wachimbaji Visima vya Kisasa — Wataalamu wa Kuaminika! 📍 Temeke, Dar es Salaam | 🌍 Tunahudumia Tanzania Nzima 🔍 HYDROGEOLOGICAL SURVEY (Utafiti wa Kisayansi wa Maji...
0 Reactions
– Replies
– Views
KELVIN HK BUILDER'S Wachimbaji Visima vya Kisasa — Wataalamu wa Kuaminika! 📍 Temeke, Dar es Salaam | Tunahudumia Tanzania Nzima HYDROGEOLOGICAL SURVEY (Utafiti wa Kisayansi wa Maji Ardhini)...
0 Reactions
1 Replies
218 Views
Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala, public toilet, dining, sebure na stoo . Ina urefu wa 10.6m na upana wa 9m, vyumba vyote vinaukubwa wa 9 sqm. Naomba mchanganua wake, gypsum powder zitahitajika...
2 Reactions
36 Replies
23K Views
Kwa msio elewa BnB Ni biashara ya kuazimisha nyumba kama hotel ambayo iko na kila kitu ila classic
4 Reactions
25 Replies
446 Views
  • Redirect
Kutofanyiwa ufumbuzi wa tatizo la kujaa maji katika njia ya Vianzi kutoka Vikindu Hospitali kuelekea Masister inaleta shida sana kwa watu kupita. Hii ndiyo njia pekee inayotumiwa na wanafunzi wa...
0 Reactions
– Replies
– Views
Ndugu zangu nawasilimu kwa majina yote ni imani yangu mko salama. Leo nimeamka na kufikiria kuhusu nchi yetu pendwa baada ya muda mrefu kutoa michango kwa ajili ya maendeleo ya Taifa letu...
1 Reactions
3 Replies
166 Views
SEHEMU YA PILI Namna ya kuzuia maji katika jengo 1.Mfumo wa kuchepusha maji mbali na jengo 2.Uwepo wa gutter 3.Matilio zenye kuzuia maji 1.MFUMO WA KUCHEPUSHA MAJI KATIKA KIWANJA Njia hii...
4 Reactions
7 Replies
318 Views
Kwanini nyumba zinazopauliwa kwa mabati mfano wa vigae ni chache sana? mabati haya aina ya vigae maarufu kama versatile fatilia uzi huu nitashare maoni yangu kama una maoni yako yalete pia 0743...
3 Reactions
10 Replies
525 Views
Wakuu shikamoni, Paa la nyumba yangu limeliwa vibaya na wadudu ambao siwafahamu, siyo mchwa, wako kama mende weusi wembamba kidogo kwa mende, wanapokuwa kwenye mbao wanakuwa viwavi (caterpilar)...
0 Reactions
92 Replies
49K Views
Habari za asubuhi wana jukwaa wenzangu. Naenda moja kwa moja kwenye maada nipo kwenye hatua ya kupau nyumba. Nimeumiza kichwa sana kuwa ni bati gani ambazo zitaendana na uwezo wangu ALAF achana...
1 Reactions
40 Replies
10K Views
Anonymous (c258)
Kuna hawa jamaa unakuta mtu ana eneo kubwa anataka kuliuza wao wanaamua kuwa madalali, yaani viwanja vinakatwa vidogo halafu barabara wanakwambia hatua tatu. Hivi hatua tatu za miguu nd barabara...
1 Reactions
7 Replies
297 Views
Back
Top Bottom