Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Mtu ukiwa unauwezo wa kujenga nyumba ya zaidi ya million 200. Basi jitahidi kuwawapa kazi kampuni mzuri ya ujenzi. Pia Kuleta interior and external designer ili nyumba iwe na mvuto. Sio nyumba...
5 Reactions
9 Replies
397 Views
  • Poll Poll
Je, unsatafuta team ya ufundi kukamilisha furaha yako kupitia nyumba yako? Uvimo Civil Group sasa ni suruhisho. Pia tunapatikana katika mitamdao ya kijamii, fatilia kazi zetu Kisha 𝙗𝙤𝙛𝙮𝙖 mara...
0 Reactions
1 Replies
269 Views
Uvimo ni moja ya kundi makini na wenye weledi katika kutimiza ndoto za wengi katika eneo la ujenzi. Hii ndio profile yetu.
0 Reactions
1 Replies
227 Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
Huduma, Bora
0 Reactions
0 Replies
69 Views
Wengi huwa tunajiuliza umuhimu wa hesabu mbali mbali tulizofundishwa mashuleni/vyuoni.Ukweli ni kwamba hesabu zote zina matumizi muhimu sana katika maisha yetu. Kigawe kikubwa cha shirika (KKS)...
1 Reactions
0 Replies
170 Views
Habari, Nimegundua watu wengi huwa wanalala kwenye vyumba vyenye choo ndani au vyoo vyenye chumba ndani. Hii ni baada ya kuona ujenzi wa nyumba nyingi za kupanga, air bnb, na nyumba za kuishi...
10 Reactions
31 Replies
971 Views
Yes karibu hii ya vyumba 2 vya kulala 1 master Plain room seble Jiko Dinning public toilet nichek 0743 257 669 Au nichek whatsapp wa.me//255743257669
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni takribani miaka mitatu tangu kuanza kwa utekelezaji wa Mradi wa Awamu ya Nne wa Barabara ya Mabasi Yaendayo Haraka (Mwendokasi) katika kipande cha Mwenge hadi Tegeta (DAWASA). Hata hivyo, kasi...
2 Reactions
0 Replies
225 Views
Kwa hili ntapata kuzungumzia katika nafasi yangu ya fundi ujenzi (UASHI).... Aisee mafundi wengi miyeyusho sana twende kwenye komenti...
0 Reactions
4 Replies
195 Views
Ni wataalam wa kuaminika. Wenye weledi na KAZI zao, ambao wamejipambanua Kwa wigo mpana kuhakikisha jamii inapata huduma Bora zaidi. Lakini wanaamini kuwa MAZINGIRA YAKO NI AFYA YAKO. Tupigie Kwa...
0 Reactions
0 Replies
67 Views
Ni wataalam wa kuaminika. Wenye weledi na KAZI zao, ambao wamejipambanua Kwa wigo mpana kuhakikisha jamii inapata huduma Bora zaidi. Lakini wanaamini kuwa MAZINGIRA YAKO NI AFYA YAKO.
0 Reactions
0 Replies
56 Views
Wataalam Mahili, wenye uzoefu wa KAZI na KAZI zao za viwango, tupigie Tutakufikia.
0 Reactions
0 Replies
150 Views
Hello, Habari zenu wapendwa. Ninaomba uzoefu wa gharama ya ujenzi wa nyumba yenye sebule, chumba na choo cha public…ni standard tu ya kawaida.
7 Reactions
39 Replies
10K Views
MKOPO MKOPO wa ujenzi, Nyumba hii inasifa zifuatazo. Chumba kimoja kikubwa chenye washroom, sitting room kubwa,kitchen na public washroom. Nyumba hii ni maalum kwa vijana wanaoanza maisha au kwa...
16 Reactions
102 Replies
5K Views
Hivi kati ya kujenga nyumba au kununua kipi ni gharama kubwa?
7 Reactions
27 Replies
1K Views
💧 KELVIN HK BUILDER'S 💧 🏗️ Wachimbaji Visima vya Kisasa — Wataalamu wa Kuaminika! 📍 Temeke, Dar es Salaam | 🌍 Tunahudumia Tanzania Nzima 🔥 OFA YA MSIMU: PUNGUZO LA DHAMANA! 🔥 Tunakuzawadia...
0 Reactions
1 Replies
187 Views
Wakuu. Hivi kwa milioni 26 za Kitanzania unaweza kujenga nyumba ya vyumba viwili, sitting room, jiko na choo na ikaisha full kuhamia?
7 Reactions
55 Replies
7K Views
Soko limekuwa na bidhaa nyingi sana siku hizi hadi imekuwa rahisi kuibiwa harafu unabaki unacheka peke yako na hasara yako Naomba ushauri wa vitasa bora na imara vya kutumia kwenye milango ya...
1 Reactions
23 Replies
959 Views
showcase za kuhamishika.. boss wangu hizi showcase zinabadili kabisa muonekano wa seble yako.. seble yako inakuwa 🔥🔥 boss wangu ww jiamulie mambo tu😁 kwa kunipa oda nkutengenezee showcase yako...
0 Reactions
14 Replies
358 Views
Back
Top Bottom