Ukiingia kwenye huu mfumo wa Tausi kupitia tausi.tamisemi.go.tz una vitu vingi sana ndani japo vingine naona havifanyi kazi.
Nimefurahishwa sana na uuzaji wa viwanja ambapo unanunua kiwanja...
Gharama za ujenzi wa nyumba zinaweza kuongezeka kutokana na mambo kadhaa, kama vile aina ya udongo, muundo wa nyumba, na upatikanaji wa vifaa vya ujenzi. Pia, mipangilio ya kiwanja na miundombinu...
Habari wakuu,
Hili suala la kulipa kodi za nyumba mnalionaje maana nyumba zimekuwa ghali sana kiasi kwamba ukipiga hesabu hapo unakuta unaweza kujenga nyumba yako kali sana ukaishi zako bila...
Ndugu wana Jf mimi ni kijana hizi nyumba za kupqnga zimenichosha, kutwa kelele za kugombezwa na mama mwenye nyumba mbele ya wanangu wawili ni fedheha. Nimejipigapiga nimeuza maeneo ya urithi ili...
Mnaomiliki na kujenga nyumba kwaajili ya kuishi na familia ama kupangisha kwa biashara, nyumba au vyumba self contained (vyenye vyoo ndani). Kwanini vyoo vyake havikupaswa kuwa na ukubwa usawa wa...
Dear Thinker's
I hope this message finds you well. I’m reaching out to present a compelling investment opportunity in the booming short-term rental market. We are launching two exciting real...
Wakuu, moja kati ya watayarishaji bora wa muziki wa bongo wa bongo fleva nchini, Master J, adai ana viwanja zaidi ya mia moja huko kigamboni.
Master J anadai kutokana na hadhi ya viwanja...
Habari wakuu wote nawasalimu
Kumekua na changamoto kwenye swala upatikanaji wa hati miliki kutoka wizarani, Kwa utaratibu uliopo ni hivi
Mtu anapotaka kumilikishwa ardhi inabidi awe na
1)...
Huu si ubunifu wala usanifu wa kubahatisha wala kukurupuka.. Kila mkono uliogusa mojawapo wa hizi kazi akili yake ilikuwa imetulia na roho ni nyeupe...
Huwezi kufanya hizi kazi kwa ufanisi huu...
TAMKO LA WAZIRI WA NCHI NA KATIBU MKUU OFISI YA RAIS -TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
Walengwa wa Mwongozo huu ni Mamlaka za Serikali za Mitaa, Taasisi mbalimbali za Serikali...
Ningependa kujifunza kuhusu watu wanaoishi milimani katika jiji la Mwanza.
Nini hupelekea watu masikini kwenda kujenga na kuishi juu ya hii milima ukizingatia Mwanza bado ina maeneo makubwa...
Fundi Maiko anakuhakikishia kabisa utapata kitu na box kama picha inavyoonyesha. Kwakua likizo yako ni ya wiki tatu, wiki ya kwanza ulimtafuta fundi, wiki ya pili mlishughulika na kibali cha...
Mambo vipi maboss, natumai mko poa.
Naomba kufahamu kuhusu ubora wa mabati ya Sunda gauge 30.
Kwa wale waliopaua wakitumia bati hizi, je, zimekuwa na matatizo kama kupauka rangi au kuvuja baada...
Wasalaam wakuu.
Naomba wataalam wa kuezeka nyumba wanijuze kuna umuhimu gani kutumia bati gauge 28 badala ya gauge 30?
Je, nikitumia gauge 30 kuna tofauti yoyote itakayokuwepo kimuonekano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.