Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Habari fatilia hapa kuhusu misumari ya bati
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Wadau, nikiwa na milion 60 mbezi mwisho au kibaha baada ya mbezi naweza jenga nyumba yenye chumba n seble yenye vyumba nane,kiwanja bei pembeni. Nisaidieni mawazo wakuu
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari zenu jamani, Napenda kujua gharama za kupiga tiles,Nyumba ipo katika mazingira ya uswahilini. Je, gharama zake zinaweza kuwa kiasi gani chumba kina square mita 9
5 Reactions
68 Replies
67K Views
kiwanja n kwa Mathias Kibaha kama bei zako ziko 4000 tzs kwa sqr mtr or less come nbox
1 Reactions
3 Replies
304 Views
Anonymous
TECU ni moja lakini kila Meneja wa Mkoa anafanya anavyojua na Chief Eng. Mwandambo hajui hata kinachoendelea. Napenda kuuliza kwanini wafanyakazi wa TECU kwenye miradi mikoa mingine wanalipwa...
2 Reactions
2 Replies
400 Views
DESIGN HAVE G.F LOUNGE ,OPEN KITCHEN ,1BEDROOM SELF ,OUTDOOR BATHROOM F.F 2SELF BEDROOM PLOT SIZE 15X20M TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM CALL US 0624004650
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Unahitaji Mechanical Technician (Fundi Mitambo) mkoa wa Dar es salaam, nicheki 0756704145
1 Reactions
12 Replies
572 Views
Habari wana JF, Je kwa sasa kanda ya ziwa ni sehemu zipi zinazoendelea katika ukuaji wa kasi kwenye ujenzi wa nyumba za kisasa za MAKAZI na je viwanja vinapatika kwa size ipi na thamani yake ikoje?
1 Reactions
2 Replies
418 Views
Wakazi wa kanda ya ziwa nyumba ya 9.6m x 8.7m inaweza kula trip ngapi za mawe katika msingi? Karibuni
2 Reactions
3 Replies
430 Views
Wataalam, Jengo ambo liko kwenye kiwanja chenye ukubwa wa skweamita 145 unaweza ku modify kwa kuweka frame ngapi zikatosha? Kwa ukubwa size medium Yan vyumba visiwe vikubwa sana Wala vidogo sana..
0 Reactions
1 Replies
243 Views
Siku njema wana JF Kuna wakati unafika unaona kuendelea kulipa kodi kwa mama mjengo sio chaguo sahihi,, hivyo unachagua kuingia kwenye nyumba yako ikiwa bado haijakamilika. Je, uliingia kwenye...
6 Reactions
44 Replies
5K Views
Wasaslam. Nahitaji kujenga nyumba ya kawaida ambayo itakuwa na concrete roof. Je inafaa na Kama inafaa vipi gharama zake? Kupaua kutumia concrete slab au mabati ipi ni nafuu. Karibuni wadau
1 Reactions
32 Replies
2K Views
VITU VYA KUZINGATIA UKITAKA KUJENGA NYUMBA YA KUPANGISHA. 1. Angalia aina ya watu unaohitaji kuwapangisha Kuna matabaka matano (05) ambayo ni kama IFUATAVYO:- a). Wanachuo, Vijana walio single...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Hii ofa huwezi kuipata sehemu yeyote..Njoo inbox nikufungie mlango mzuri wa uPVC kwa bei ya ofa Milango ya PVC ni mizuri kwa chooni na kwa ofisi yako na hata nyumban kwako. Ubora wake ni kwamba...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Wadau wa ujenzi nilikuwa nahitaji madirisha ya aluminum ila kuna mdau moja anayehusika amenijibu kuwa bei dirisha la aluminum ya rangi ya silver nitofauti na ya rangi nyeusi na kwamba nyeusi...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
kama uko maeneo hayoo tuwasiliane kuna jamaa anahitaji madirisha makubwa matatu ya aina hii Piga kwenye hii namba 0792797806 Robinson Mulize kuna Magriill ya kutengeneza kibaha kwa Mathias...
0 Reactions
0 Replies
379 Views
Naitwa James ni mbobezi wa kuchora ramani za nyumba kwa miaka mingi Leo nakushauri jambo kubwa na zito ambalo ukizingatia utajenga nyumba kwa ghalama naafuu Kwanza kama unataka raman za nyumba...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Back
Top Bottom