Tanzania Kwa ujumla Makazi yake mengi ni holela na hayajafuata mipango Miji yaani squatters ambapo asilimia 67% ya majengo/Makazi yote Nchini ni Uswahilini yaani Slums.
Pamoja na hali hiyo mbaya...
🔺 DESIGN & BUILD: MODERN V-FRAMED PRIVATE VILLAS 🔺
Are you looking to build a unique, modern private villa that stands out and maximizes space?
We specialize in DESIGN & BUILD SERVICES for...
IPE NYUMBA YAKO MUONEKANO WA KISASA KWA LANDSCAPE KALI KUTOKA KWETU 0624004650
HAPA TUMEHUSIKA FROM DESIGN IDEAS
PERGOLA AND OUTDOOR LOUNGE
POOL CONSTRUCTION
TUPIGIE UPATE KAZI BORA
🏗️ JENGA KISASA NA KELVIN HK BUILDERS – UHAKIKA NA UBORA!
Wadau na wapenzi wa ujenzi bora, kilio chenu kimesikiwa! Kelvin HK Builders tuko hapa kufuta machozi yenu na kukupa nyumba ya ndoto zako...
Habari wana bodi
Naomba uzoefu wenu kwa mtu yeyote aliewai tumia hii mashine winchi hasa kwenye kazi za kubebea zege.
Aina gani nzuri, tani ngapi nzuri kwa ujenzi wetu wa wastani, matumizi yake...
Habari zenu wadau wa Dodoma. Karibuni ofisini (Jamhuri, shule ya sekondari) kuna mzigo wa mbao wa kutosha na Bei zetu ni rahisi sana!
2x2 - 2,300
2x3 - 3,300
2x4 - 4,300
2x6 - 6,500
1x4 - 2,300...
Hata kama mchoro wa nyumba ni uleule, gharama za ujenzi zinaweza kutofautiana sana kutokana na mambo yafuatayo:
1. Mahali pa Ujenzi (Location)
Bei ya vifaa hutofautiana kulingana na eneo
Gharama...
Bafu la Master Bedroom lina nafasi ya kutosha. Ninaweza kuweka kila muhimu ikiwemo sehemu ya mashine ya kufulia nguo.
Moyo unaniambia niweke Jacuzzi, akili inaniambia acha ufahari, utafanyia nini...
Mimi najiuliza watu hawajapona majibu ya 29/ 10 ambapo watenda makosa wakuu ni Jeshi la POLISI kwa KUTEKELEZA amri ya MAUAJI ya vijana wa kitanzania alafu Bado polisi mnaendeleza huu ushubwada wa...
Nje ya kutumika kama miti kwenye ujenzi na chanzo cha pombe ya ulanzi.. Mianzi pia ina matumizi mengine kwenye kupendezesha nyumba hasa kwa wapendao vitu asilia
Special dedication kwa Malchiah na...
Habari ndugu zangu wa JF,
Uzi maalum wa picha aina mbali mbali za vyoo kitchen sink majakuzi vyoo mabeseni bath..Pia material mapya yanayo ingia sokoni aina mbali mbali za cock n.k
Pia unaweza...
Msaada natafuta nyumba ya kupanga vyumba viwili na sebule sina familia kubwa ninawatoto wawili na house girl sina mke. Nahitaji maeneo haya ya Kisesa, Kishiri na Igoma.
Nina 100k kwa mwezi ikizidi...
Mimi ni fundi
Kwa wauza vifaa vya furniture km
Plywood 18mm...
Mikono inch 6 ya makabati....
Mikono inch 8 ya kabati....
Bawaba za kichina....
Loki za kabat...
Gundi bollbond...
Disk ya mbao...
Naomba kuuliza wataalamu wa ujenzi hizi nyumba za hivi (kama zinavyoonekana sio kubwa) zinaweza kufikia gharama za ujenzi na finishing kali kiasi gani? nataka nikiwa na pesa kamili au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.