Hbr wajenzi. Baada ya kumaliza kuchapia/plasta ndani na copro naomba kujua bidhaa gani ni bora kwakuw skimu lakin pia nakarbisha fundi aje inbox tuelewani kazi _ location saiti ilipo ni KIBAHA...
HABARI,
Hiyo hapo 2 bedrooms na public toilet, nzuri ya kuanzia maisha kwa wale wenzangu wanajitafuta, unaweza kuifanya servant quarter, unaweza pia kuifanya ya wapangaji. Gharama zote...
Nipo Mwanza hivi gharama za kujenga msingi wa nyumba ya vyumba 3,dining ,kitchen kwa kutumia tofali inaweza gharimu kiasi gani kwani kuuliza sio ujinga.
Tujifunze Hatua za Kufata Kabla Hujachimba Kisima cha Kisasa (borehole)
Geophysical Survey
Hii ni hatua ya kwanza ya upembuzi yakinifu kujua uwepo wa mikondo ya maji, iko mita ngapi chini na...
Wakuu habari za majukumu,
Kama title ilivyo, naomba mnisaidie kujua makadirio yote kwa ujumla maana nimesikia ukiachana na tiles, mchanga, maji na cement, kuna kitu inaitwa grout, skating,
Ukubwa...
Wadau nategemea kuwekea sakafu tiles,sasa changamoto ni malipo ya fundi mweka tiles,maana kuna fundi ambaye alifanya shughuli nyingine za ujenzi ananiambia kuwa square mita ni sh. 9000.
Mafundi...
Habari za leo wana JF 👋
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kujua makadirio ya gharama za kujenga nyumba yenye vyumba 3 (Vyote master), sebule, dining, jiko, store, pamoja na choo cha...
JENISTA MHAGAMA AZITAKA HOSPITALI KUSIMAMIA NA KULINDA MIUNDOMBINU ILIYOPO
Na WAF - Bariadi, Simiyu
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amezitaka Hospitali zote nchini kuwa na utamaduni wa...
sina uzoefu na masuala ya ujenzi, sasa nimefikia hatua ya kupaua nawaza mbao nzuri za kuezekea ni zipi? Nimesikia kule bugurun baadhi wanapaka cola badala ya dawa. Ntahakikishaje mbao nayonunua ni...
Habari wana jamvi
Nimejaribu kufatilia kwa nakala mbalimbali kuhusu faida na hasara za ujenzi wa kutumia interlocking bricks.
Sehemu nyingi naona zinaorodheshwa faida zake tu kama
Urembo asilia...
Hello all,
Natafuta kiwanja Dar es Salaam. Malengo yangu ni kujenga nyumba ya vyumba sita vya kukaribisha wageni wa mda mfupi (ex : Airbnb…)
Wapi Dar es Salaam naweza pata kiwanja kizuri kwa bei...
Salam wakuu,
Miaka kidogo nyumba maeneo kama Madale, Goba na Mapinga ilikuwa ni kama porini tu, viwanja vilikuwa vinapatikana kwa bei ya chini sana kwasababu hakukuwa na miundo mbinu yoyote ile...
JENISTA MHAGAMA: MIUNDOMBINU SEKTA YA AFYA PERAMIHO YAZIDI KUIMARIKA
Serikali kupitia Wizara ya Afya imetoa shilingi Bilioni 40 kwa mwaka wa fedha 2023/24 ili kuendelea kuimarisha miundombinu ya...
JENISTA MHAGAMA: UJENZI WA GHALA LA MSD DODOMA LAKAMILIKA KWA ASILIMIA 95
Ujenzi wa ghala la kuhifadhi bidhaa za afya la Bohari ya Dawa Kanda ya Dodoma lenye ukubwa wa mita za mraba 7,200...
Maboss zangu mko poa..
Angalia picha zote uone kabla na baada(before and after) ya kuweka showcase..
Showcase za kujengea za kisasa kabisa..
Maboss zangu wengi mnatakaga kujua gharama ila hizi...
Ilinde gari yako kwa kuipark sehemu salama pia hizi car parking shades huleta muonekano mpya wa nyumba yako au ofisi yako tupigie kwa namba 0687897026/0767583628
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.