Mambo vipi maboss, natumai mko poa.
Naomba kufahamu kuhusu ubora wa mabati ya Sunda gauge 30.
Kwa wale waliopaua wakitumia bati hizi, je, zimekuwa na matatizo kama kupauka rangi au kuvuja baada...
Wasalaam wakuu.
Naomba wataalam wa kuezeka nyumba wanijuze kuna umuhimu gani kutumia bati gauge 28 badala ya gauge 30?
Je, nikitumia gauge 30 kuna tofauti yoyote itakayokuwepo kimuonekano...
Habari wadau,
Naomba msaada wa gharama za ujenzi wa nyumba ya vyumba 2(self), sitting room & kitchen.
maeneo ya Mwanza Busweru.
Habari zenu, Naomba kujuzwa rough estimate za kujenga nyumba ya...
Habari wakuu,
Kumekua na aina/brand nyingi sana za gypsum boards siku za karibuni.
Katika ufuatiliaji wangu, nimekutana na brand zifuatazo:
Made in India(bei kubwa Tsh 22000-27000)
-Gyproc...
Viambaza ni sehemu ya urembo na finishing kwenye ujenzi wa nyumba.. Nyumba isiyo na kiambaza ni sawa na mchuzi chukuchuku... Ama mboga isiyo na viungo
Zufuatazo ni baadhi ya viambaza vyenye...
Wakuu habari za hapa,ninauza ramani ya kuanzia maisha ,ramani ya vyumba viwili,KIMOJA master,jiko,sebule, choo cha public. Ramani hiyo Ina kurasa za paa,msingi,muonekano,na vipimo vyake. Kwa...
Maboss zangu shelves za madukani izo apo.. kwa wauzaji wa maduka ya dawa, vipodozi, pochi, viatu ..
Boss nipe oda unahitaji shelves ngapi nkikutengenezea..
Shelves nzur na zakuvutia Zinafanya...
Niaje waungwana,
Kama swali linavojieleza hapo juu, ukiambiwa uchague sehemu moja tu ya kujenga kwa ajili ya makazi kati ya Chanika, Kibaha, Vikindu na Bagamoyo ila kiwanja unapewa bure.
Ndugu...
Hizi ni power tools muhimu ambazo fundi wa ujenzi wa nyumba anashauriwa awe nazo kwa kazi kuwa rahisi, haraka na bora:
1. Drill Machine (Choropoa) – Kwa kuchimba kuta, mbao, nondo n.k.
2. Angle...
Wakuu mambo vipi?
Nina bati 8pcs za Alaf mgongo mpana (Chacoal grey) na mifuko 4 ya misumali (Kila mfuko una uzito wa 1Kg na misumali 100pcs). Material hizi zilibaki baada ya kupaua.
Kwa...
🛠️ UNATAFUTA FUNDI PLASTA WA KUAMINIKA? 🏠
KELVIN HK ndiyo jibu lako!
Tunatoa huduma bora za kupiga plasta (ndani & nje) kwa ubora wa hali ya juu, popote ulipo Tanzania 🇹🇿.
✅ Kazi safi, nadhifu...
Nyumba nzuri kwa nje ni lazima na vya ndani viendane na uzuri wa nje
Hapa ni mtiririko wa picha mbalimbali za vioo unavyoweza kuweka ndani kwako kulingana na nafasi, eneo na mahitaji
Wakuu Habari
Najenga nyumba ya vyumba vitatu Bagamoyo nimefikia kwenye boma nahitaji kupaua,kuweka grill za madilisha na milango 2 wa nyuma na mbele, plasta,kuweka floor rafu.Naomba kujua gharama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.