Kikwete ashusha bei vifaa vya ujenzi

T2015CCM

JF-Expert Member
Sep 13, 2012
7,931
987
Kikwete sasa ameanza kazi, Nondo mm 12 ef 14500, sementi mfuko sh 12400,misumari,bati bei ni bwereree,hadi raha.kama una ujenzi wako wakati ni huu.
 
Watanzania bwana!!!

Ewe mleta thread hii; Sawa Algebra ni ngumu, hata hesabu za kutoa na kujumlisha zinakushinda
 
Imeshuka mkoa gani ? kuna wakati some member huku wanakuwa na ushabiki wa kitoto. Hiyo hesabu ni ya nchi nzima au imeshushwa tu kule Msoga?
 
labda umeuziwa chokaa kwa bei hiyo
la sivo tutajie uko mkoa gani na duka gani umepata kwa bei hiyo
 
mhnn.. itakuwa vizuri kama bei imeshuka. huku nilipo cement 22,000 na nondo mm 16/18 32000-ujenzi mgumu kweli kweli right Dr. S angekuwa amechukua...
 
Kwa mikoani simenti hata kufika 15,000 haitawezekana kama mafisadi hawatoendelea kuihujumu TRC ili malori yao yaendelee kubeba mizigo:A S cry:
 
hizo ni ndoto ili hii kitu kushuka bei yahitaji kujitoa sana
yaani ukishusha bei ni nini kitaziba pengo la kodi ya cement,nondo
 
labda umeuziwa chokaa kwa bei hiyola sivo tutajie uko mkoa gani na duka gani umepata kwa bei hiyo
mkuu nipo kongowe kibaha pwani simenti 15000 nondo 10 mm 17000!! yeye na aseme kama ni bei ya kiwanda ya leo.then ni lipi la kulipigia vigelele si ndo yeye alotufikisha huko??????
 
CDM election Manifesto ilikua na maelekezo yakinifu juu ya hilo ! hahahahaaah Poleni WaTanganyika ! hao Magamba hawana jipya !
 
Kashusha bei ? kwani ametoa ruzuku au sehemu ya mshahara wake.? au amefungua kiwanda kuongeza competition ?

Kama bei itashuka ni kwamba watu watakuwa wamefanya kazi zao, sababu haijashuka na maisha yanakuwa magumu kila siku basi hafanyi kazi yake and he has let us down, (a commander in chief whom in his watch everything has gone haywire)
 
Back
Top Bottom