Gharama za ujenzi wa nyumba kama hii kwa dar es salaam

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,043
3,596
WAKUU HABARI ZENU ebwana nilikuwa najaribu kuangalia picha za hii nyumba inayopatikana hapa palo alto calofonia but nikawa nafikiria hii nyumba japokuwa ni kind expensive huku kibongo bongo kama nikichukua mafundi wanaweza tengeuneza kwa gharama nafuu so wakuu kwa yeyote mwenye kujua hawa mafundi pliz aaniambie hii kitu kibongo bongo minimua na maximum inaweza kuwa ni sh ngapi???
coz naona most of things ni vyoo...
na mbao so nahisi itakuwa kind of cheap a very simple but classic house i like it....
wakuu mawazo yenu ni muhimu katika hili

attachment.php

House-in-Palo-Alto-Bathroom.jpg House-in-Palo-Alto-Bedroom.jpg House-in-Palo-Alto-Corridor.jpg House-in-Palo-Alto-Corridor.jpg House-in-Palo-Alto-Exterior-Design.jpg House-in-Palo-Alto-Exterior-Design.jpg House-in-Palo-Alto-Interior-Design.jpg House-in-Palo-Alto-Living-Room.jpg House-in-Palo-Alto-Staircase.jpg
 
Attachments

  • House-in-Palo-Alto-Architecture-Modern-House.jpg
    House-in-Palo-Alto-Architecture-Modern-House.jpg
    62.4 KB · Views: 2,815

bitimkongwe

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
4,744
2,809
Nyumba inategemea area, mkato wa ndani labda kuna vyumba na toilets ngapi, aina ya vifaa vya ndani unavyotaka - kuna mpaka vya kichina vya bei rahisi na kuna vya Ujerumani na kwengine Ulaya ambavyo ni ghali sana.

Sasa jee wewe unataka vya aina gani? Ukimpa mtu plani ya nyumba pamoja na aina ya vifaa unavyohitajia atakutengenezea BoQ (Bills of quantity) na hapo ndipo utaijua mbivu na mbichi.

Mimi natoa mawazo tu si engineer wala cho chote.
 
C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,043
3,596
ni vyumba vitano.....
na office
kitchen living room
nk
 
mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,285
7,307
Kaka ujenzi bongo ni gharama sana hizi nyumba za kiswahili tu tena za kawaida sana huchukua 50 milioni nasema hivi kwa sababu mimi nimesimamia mimi mwenyewe kujenga nyumba ya kawaida sana imechukua hiyo amount tena ni Dar ambapo ujenzi kiasi ninafuu kwa kuwa mengi ya materials yapo hapa hapa tofauti na kama unajenga Mwanza au Songea ambako bei ya sementi na nondo iko juu sababu ya usafirishaji ok kwa kukadiria kwangu hiyo nyumba itachukua kati ya millioni 250 hadi 350 millioni tena hapo inabidi uchukue likizo na ushinde site.usishangae Dar kukodi nyumba maeneo mazuri ni bei kubwa kuliko hata huko ughaibuni huku huchaji kwa dola ya kimarekani hadi 5000 kwa mwezi na wanatakaulipe kwa mkupuo kwa mwaka
 
rmashauri

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
3,011
448
WAKUU HABARI ZENU ebwana nilikuwa najaribu kuangalia picha za hii nyumba inayopatikana hapa palo alto calofonia but nikawa nafikiria hii nyumba japokuwa ni kind expensive huku kibongo bongo kama nikichukua mafundi wanaweza tengeuneza kwa gharama nafuu so wakuu kwa yeyote mwenye kujua hawa mafundi pliz aaniambie hii kitu kibongo bongo minimua na maximum inaweza kuwa ni sh ngapi???
coz naona most of things ni vyoo...
na mbao so nahisi itakuwa kind of cheap a very simple but classic house i like it....
wakuu mawazo yenu ni muhimu katika hili
View attachment 38147 View attachment 38148 View attachment 38149 View attachment 38149 View attachment 38150 View attachment 38150 View attachment 38151 View attachment 38152 View attachment 38153

Hizo kwenye nyekundu ulimaanisha nini mkuu? Next time tulia andika kwa ufasaha. Anyway nyumba ni nzuri. Wataalamu wa mahesabu ya ujenzi wanasema kuwa chukua ukubwa wa nyumba in square metres halafu hizo square metres zidisha kwa Tshs. laki 5 (500,000) utapata kadirio lililo karibu sana na gharama halisi kwa hapa Bongo.
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
44,250
91,925
But nyumba za mbao dar?
Nilazima tutumie tofali halafu dar lazima uweke grills.....
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,801
24,508
kuna jamaa wanaitwa bautech, wana ofc oppositte na kndoni muslim, wanafanya hizi bt security ni issue. manake wezi wa bongo watakuvua hadi pyjama!
 
PlanckScale

JF-Expert Member
Sep 28, 2008
550
169
From my experience inaweza kukosti kati ya dola 120,000 hadi 150,000. Kisio hichi kinabased yakua utasimamia ujenzi mwenyewe pamoja na kununua vifaa. Jenga nyumba kama hii kwenye sehemu za mji ambazo zina mvutio wa biashara za nyumba - yaani mbezi beach, Mikocheni, tegeta, msasani, goba, kigamboni, n.k. Usiweke investiment kama hii Tabata, Tandika, au Kibaha...haitalipa!

Also, unaweza weka grille ambazo haziharibu show ya nyumba...kazi kwako tuu, mkuu
 
bitimkongwe

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
4,744
2,809
Hapo weka kuanzia milioni 350 na kwenda mbele (inflation iko juu).

Halafu lazima uweke roof kwani kwa hapa hiyo zege ya juu inataka maintenance ya hali ya juu au utakuta nyumba inavuja ile mbaya.
 
PlanckScale

JF-Expert Member
Sep 28, 2008
550
169
Hapo weka kuanzia milioni 350 na kwenda mbele (inflation iko juu).

Halafu lazima uweke roof kwani kwa hapa hiyo zege ya juu inataka maintenance ya hali ya juu au utakuta nyumba inavuja ile mbaya.

Haifiki milioni 350. Maximum 250. Tena ukiwa makini na kusimamia vizuri inaweza shuka. I have practical experience on this!
Ila ukituma watu wakujengee na kununua bidhaa...utajenga nyumba mbili (yako na ya fundi)!
 
Roulette

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
5,592
5,337
Nimeipenda sana hii nyumba... ngoja niitafute google nijue plan yake ikoje...
 
Lukansola

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
5,436
1,580
Watu wengi wanashindwa kujenga nyumba kwa kutishiwa na gharama, kama umeamua kujenga wewe jenga tu hata kwa mfuko mmoja mmnopja wa cement kaka, ukitaka upate 250m kwa mkupuo hutajenga milele, labda ukakope benki ulipe interest. this is from my own experiance. ila ni lazima uwe karibu maana mafundi wa kibongo ni noma wanachakachua sana.
 
newmzalendo

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
1,377
539
Tafuta pesa wape wChina,after 9months unahAMia,UKITAKA KUJUA GHARAMA OR BOQ,TUM dola elfu,utapa boq plus mchoro,ukija wewe ni kujenga tu.
 
only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,524
WAKUU HABARI ZENU ebwana nilikuwa najaribu kuangalia picha za hii nyumba inayopatikana hapa palo alto calofonia but nikawa nafikiria hii nyumba japokuwa ni kind expensive huku kibongo bongo kama nikichukua mafundi wanaweza tengeuneza kwa gharama nafuu so wakuu kwa yeyote mwenye kujua hawa mafundi pliz aaniambie hii kitu kibongo bongo minimua na maximum inaweza kuwa ni sh ngapi???
coz naona most of things ni vyoo...
na mbao so nahisi itakuwa kind of cheap a very simple but classic house i like it....
wakuu mawazo yenu ni muhimu katika hili

attachment.php

View attachment 38147 View attachment 38148 View attachment 38149 View attachment 38149 View attachment 38150 View attachment 38150 View attachment 38151 View attachment 38152 View attachment 38153

Ha ha ha ha ha...sina la kusema mkuu.....lol!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom