Ndugu,
Ungekuwa ni mtu makini ungepitia topic za miezi ya nyuma sidhani kama ungekuwa na ulazima wa kuomba ushauri kama ulivyoandika hapa, kuna mada moja ya mambo ya ujenzi ipo hapa, watu walichangia kwa mapana saana na ungeisoma ungepata idea ya hicho kitu ulichouliza,