Ujenzi wa nyumba mpya Kaloleni Mbunge Lema yuko sahihi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujenzi wa nyumba mpya Kaloleni Mbunge Lema yuko sahihi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ngongo, Jan 9, 2012.

 1. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Heshima kwenu wakuu,

  Mwanajamvi anayekwenda kwa jina ritz alituhabarisha juu ya mradi wa ujenzi wa nyumba za kisasa kitongoji cha Kaloleni.

  Mradi wa ujenzi Kaloleni umekaa kifisadi zipo sababu kuu sita ambazo zimeuchafua mradi mzima.

  [1] Mradi haukufuata utaratibu wa tenda kama sheria na kanuni za manispaa zinavyotaka.

  [2] Mradi utamnufaisha zaidi mwekezaji badala ya manispaa [mwenye mali].Mwekezaji ana uhuru wa kukopa fedha kwaajili ya kuendelza mradi kwa kutumia ardhi ya manispaa sasa jiulize ni kwanini Manispaa haitumii fursa ya kukopa wenyewe na hatimae wajenge wenyewe na mwisho wamiliki wenyewe kwakuwa wana collateral.

  [3] Mradi utamnufasisha/umeshamnufaisha meya wa jiji.Tayari kuna fununu Meya kashanyakua share toka kampuni ya mwekezaji.

  [4] Madiwani wamepewa ofa ya kutembelea Dubai,hii ni rushwa sijui kwanini TAKUKURU mpaka sasa wako kimya.

  [5] Kati ya Nyumba 100 tayari nyumba 2 zilishauzwa.

  [a] Nyumba namba 11 iliuzwa kwa Mama Moshi kwakuwa alikuwa na uhusiano na marehemu Makongoro[Nyumba ndogo].Kwa wasiomfahamu Marehemu Makongoro huyu alikuwa mpiga debe maarufu tangu mfumo wa vyama vingi ulipoanza rasmi mwaka 1992.Marehemu Makongoro alikuwa akimiliki Land Rover pick up amabayo ilikuwa mahususi kwaajili ya uwindaji lakini kipindi cha kampeni kinapowadia alikuwa akiitumia kwa shughuli za uchaguzi hasa matangazo ya mikutano.Marehemu Makongoro ni miongoni mwa wanaCCM waliomstaki Makongoro Nyerere wa NCCR Mageuzi na hatimaye kuvuliwa ubunge wa Arusha mjini.

  Nyumba namba 17 iliuzwa kwa Mama Mzunguu [Mama mchanganyiko Msambaa na Mjerumani] huyu alikuwa na ukaribu na Mheshimiwa Dr A L Mrema wakati huo akiwa Naibu Waziri Mkuu na waziri wa Mambo ya Ndani.Watoto wa Mzee wa Kiraracha wakati huo wakisoma St Contantino Nje ya mji wa Arusha wakilifunga shule walikuwa wakichukuliwa na Mama Mzunguu.Mama Mzunguu pia alikuwa na uhusiano wa karibu na kigogo mwingine wa CCM Mheshimiwa Zamu Zamu [Mkwe]so up uwezekano alisaidiwa kuuziwa nyumba either na Dr A L Mrema au Mheshimiwa Zamu Zamu.Mheshimiwa Zamu Zamu alikuwa wakala pekee wa usambazaji wa sukari zipo taarifa kwamba alikuwa akidaiwa mabilioni na CRDB akasingizia kifo mpaka leo kuna taarifa kwamba anaishi Zanzibar kama ulikuwa unashangaa mchezo wa Balali wako walio tangulia zamani kuucheza.Mheshimiwa Zamu Zamu aliwahi kutoa fedha nyingi kwa CCM mkoa wa Arusha kwaajili ya kampeni pia aliongeza urefu wa ukuta wa uwanja wa Sheikh Amri Abeid hili kuzuia vijana wasiweze kuruka ukuta kwa urahisi.Enzi za utawala wa Dr Salimin Amour Mheshimiwa Zam Zam alikuwa juu sana alikuwa hashikiki.

  [6] Wakaazi wengine 98 wa nyumba za Kaloleni waliomba nao wauziwe nyumba kama wenzao walivyouziwa lakini kwakuwa hawakuwa na kigogo wa kuwakingia kifua hawakuuziwa badala yake wanatakiwa kuondoka hili kupisha ujenzi wa nyumba mpya amabo haukufuata taratibu.

  Mheshimiwa Mbunge wa Arusha yuko sahihi kupinga mradi tumuunge mkono.


  Naomba kuwasilisha.

   
 2. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Kwa maelezo uliyotupa hapo juu, huo mradi unanuka rushwa tupu! Ni kweli watu waarusha tunapenda miradi ya maendeleo kama huo. Lakini mradi unaonuka rushwa namna hii hatuta ukubali na tutaungana na mbunge wetu kuupinga kwa nguvu zote.

  Kwa namna madiwani wa ccm na mmeya feki wanavyoupigia debe na taratibu za kuutangaza zilivyokiukwa, ni dhahiri rushwa imetembea. Kesho sintashanga kusikia kampuni ya ujenzi ya mmeya feki ikapewa sub contract!
   
 3. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  "... Mradi utamnufaisha zaidi mwekezaji badala ya manispaa [mwenye mali]... "

  Mwenye mali ndio nani huyo bwana!! ... anayeipelekeshaa Manispaa nzima kama haina akili nzuri!!
   
 4. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  ... Na Huu mradi unahusiana vipi na huo tunaosikia unahusisha Nymba za AICC ... Au huu ni mwingene wenye usafi au jambo ndio hilo hilo ... Hapo arusha Iko Kazi!!
   
 5. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Kweli Arusha ipo kazi! Hapa tunapata picha sasa ya kwanini ccm walikuwa tayari kuua ili kuhakikisha wanamlinda mmeya wao!
   
 6. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2012
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145


  Wana JF,

  Me naweza nikawa labda tofauti kidogo kwanza hili mtakubaliana nami Si ha sa za Bongo kweli kwa asilima fulani zina tuharibia kabisa au zinachangia kabisa kudorora kwa maendeleo nchini kume kuwa na personal interest kwa wengi wa viongozi tuliowapa dhamana ya kutuongoza kwa ajiri ya nafsi zao na sio kuweka Legacy for next generation bali wao ni kuua kabisa future za vizazi vijavyo.

  Nakuja kwa swala la kujenga mjimi esp Mji wa Arusha me kwangu huo mji sio JIJI. Haujawa na sifi ya kuwa jiji kwaaji ya mpango miji wa mkoa huo esp mjini pale katikati na hata pembeni (au nje) ya mji makazi ya watu yalivyo kaaa duuuuh usipime esp Unga Ltd ni almost not more than 5Km kuja mjini lakini ukiangalia vyumba zilivyo rundikana utadhani Kibera kenya hata matejoo distance ni sawa pia kwenda mjini tizama nyumba zilivyo banana kuna mijumba mizuri na za udongo tatizo kubwa ni mipango miji hakuna barabara hakuna mitaro ya kupitisha maji wajua Arusha huko mvua ikinyesha kama ya majuzi iliyo nyesha Dar hata mtakuata watu wahaelea juu kwani maji hayana mahali pa kupita yakitelemka toka mlimani.

  Leo hii mwasema mwataka kujenga makazi mapya mjini ivi huko nje ya mji mume pajenga na hamtaki kukaa huko ili mwendeleee kurundikana mjini ambako miundombinu ni mibovu hata kama mkijenga barabara kwa rami yet mji haujapangika still mtakuwa na foleni ya magari mji gani una barabar mbili tu Uhuru road na Nairobi road kwenda mjini na kurudi majumbani njia ni ile ile kila kukicha na jua kuzama.

  Rushwa imekithiri sana mji wa arusha ni wenye nacho wanataka wabaki nacho umekuwa ni mji wa mesheni town msemo wetu wa kiswazi deals ni nyingi matokeo yake ndio kumeudumaza mji huo ambao sasa ungekuwa uko juu sana hapa Tanzania majuzi tu tulisikia World Bank wame stop pesa zao kwa kuwa kumenuka rushwa manicipul ya Arusha leo hii mwasema mwawatoa wakazi wa kaloleni mnawapeleka wapi nyie madiwani na Mayor wenu mlio kubali hao wakazio wa hapo wahamee??

  Ndio pia twasikia AICC hapo nyumba za kaloleni nazo 500 zinavunjwa wana weka shopping Center teh teh teh teh mji huoo amakweli kuja kukaa level kuitwa jiji kweli mtapitisha short cut uwe na majumba mzuri mtauita jiji hakuna barabara safi na system zote za maji ni mbovu maji machafu nayo hivyo hivyo jamani twaenda wapi.

  Me sipingi kujengwa kwa majumba mapya ile je mumetengenezaje mpango mji wa mji huo wa Arusha kwanza for next 50 years ndilo la msingi kwanza na sio kukimbili kujifanya oooh munaona nilivyokuwa diwani nilifanya hili je huku nyuma unakumbuka ulitengeneza njia ya wengine wakija waendeleze mjii au kulaumiana baadae au mtasema vijana wetu nao watajiju watajua jinsi ya kulekebisha SI HA SA za Bongo bwana khaaaa

  My Take;
  na ndio maana kume kuwa na timbili timbwili la udiwani u mayor ubunge hapajatulia kabisa katika mji huo watu wametanguliza taaamaaaa zao na sio kujenga au kuaacha histori ya jambo wao ni kujikita kwenye si ha sa tuuuuu

   
 7. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #7
  Jan 9, 2012
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Mradi wa AICC was there since then tuuwache huo kwa leo, na huu wa Kaloleni tunavyo ujua ni ule wa kuziondo nyumba zile za kaloleni Mashariki na zina wakazi wengi ambao nao walidai wauziwe ila ikapigwa teke nazo ni SI HA SA hizo za mji huo esp Mwenyekiti wa CCM wilaya ndio walio kuwa wakizipigia deal a.k.a Kileo na wenzake


   
 8. K

  Kibubumo Member

  #8
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ngongo nakubaliana nawe saaaana mm pia ni mkazi wa ololo, nimezaliwa hapo mama mushi ameuza saaana vitumbua ktk K.11pia mama mzungu alikuwa anafanya kazi lion tours haiwezekani wao wauziwe kinyemela ss walalahoi ndio tutolewe kama ni wakimbizi ktk nchi yetu, namwomba mbunge LEMA AFWATILIE KWA KINA UBAGA SUALA HILI KWANI NI FULL RUSHWA CHALIII ANGU.
  Wana JF naomba kuwasilisha
   
 9. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #9
  Jan 10, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Mkuu Kibubumo.

  Tatizo si kuzaliwa Kaloleni bali wewe au familia yako ina uhusiano gani na vigogo wa nchi hii ?.Nyumba utauziwa ikiwa unafahamiana na watawala na walanchi.


   
 10. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #10
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Lema atakufa nao haki ya nani!
   
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mkuu ni kuunganisha nguvu zetu kumuunga mkono Lema lakini tukimwachia Lema kazi itakuwa ngumu sana.....
   
 12. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #12
  Jan 10, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Mkuu Filipo.

  Eneo la Kaloleni kiwanja kinauzwa kati ya Tsh 400,000,000/=@ mpaka 600,000,000/=@ piga hesabu nyumba mia moja pamoja na barabara na miundombinu ie Umeme na maji.Unadhani Meya na madiwani watia ndani kiasi gani ?.


   
 13. K

  Kyaa New Member

  #13
  Jan 10, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakika wakazi wa Arusha tusilaze damu Hawa sisiem wamesha zoeya kujifanyia mambo yao kwa manufaa yao. wamezidi kuuza na kula dili ya ardhi Mfano ni meya wa kipindi cha 2005-2006 alikuwa diwani wa kata ya kimandolu huyu jamaa aliuza kiwanja cha wazi pale Ngaranumbe a.k.a Kitiengare hakika wananchi wapale tulikoomaa naye na hakufanikiwa adhima yake so wadau wa Arusha tusikubali huyu meya feki naye afanikishe kulijaza tumbo lake kifisadi namna hii katika uwekezaji huu wa Kaloleni. tumuunge mkono jemedari wetu Lema mpaka kielewekeeeeeeee
   
 14. K

  Kyaa New Member

  #14
  Jan 10, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  long live Mh Lema mradi wa kaloleni usiruhusiwe kuendelea Arusha ndipo azimio la maadili lilipitishwa tuenzi AZIMIO LA ARUSHA kwa kukataa uwekezaji huu na mingine yenye sura ya rushwa na ufisadi Daima tusi mkubali meya huyu feki atekeleze azma ya hawa manyangau na mabeberu weusi wa nchi hii
   
 15. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #15
  Jan 10, 2012
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Takukuru mko wapi? Hii ni Rushwa LIVE. Ndiyo maana wanang'ang'ania mradi uende haraka haraka. ARUSHA MSIKUBALI JAMNI, kumbukeni UN wanaondoka uchumi wenu utshuka sana, angalieni madhara ya kubinfsisha Mbuguni, je sasa wakibinafsisha kaleleni itakuwaje? Na kesho itafuatia SOWETO....
   
 16. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #16
  Apr 29, 2013
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280


  naamini bifu kati ya lema na RC lina chanzo chake na sio siasa tu kama wengi wanavyodhani.
   
 17. k

  kirikuu1 Member

  #17
  Apr 29, 2013
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Takukuru hatudeal na rushwa kubwakubwa kama hizo tunadeal na rushwa ndogondogo kama za ngono za wanafunz kwa walimu, na rushwa zisizozidi laki 2
   
Loading...