Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Habari zenu ndugu, Naomba kuuliza kwa mtu mwenye uzoefu na masuala ya ujenzi kwa hapa Dar es Salaam au hata sehemu nyingine za nchi hii. Kwa mtu aliyenunua "shamba" kwa kuuziana na mtu kupitia...
0 Reactions
36 Replies
9K Views
Habari zenu wakuu, Kwa yeyote aliye kwenye shughuli za ujenzi au ana mpango wa kujenga na bado hajapata supplier wa uhakika kwa ajili ya kumsambazia vifaa vya ujenzi kuanzia msingi hadi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina kampuni valid ya ujenzi, natafuta mtu mwenye vifaa kama grader. Kazi si tatizo, mimi ni mhandisi niko kwenye hii field. Call 0712660713 for more information.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wana Jamii, Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa maono ya kutaka kujenga nyumba kwa ajili ya familia yangu. Nimekutana na threads mbili tatu kuhusu ujenzi, lakni nimeona sio haba kuomba ushauri...
0 Reactions
10 Replies
16K Views
Jamani naomba msaada wenu katika kujua bei ya PVC inayotumika kufunika paa la nyumba kwa nje, mikanda yake pamoja na misumari yake inayotumika. Samahani kwa usumbufu
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Wadau wa mji kasoro bahari, Nahitaji mirunda, na mbao za kukodishwa kwa ajili ya lenta na kenopi, mjini Moro, lengo la kufanya hivi ni kutokana na nikinunua baada ya ujenzi sitakua na sehemu ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau Kuna nyumba eneo la magomeni, Dar es salaam anahitajika muwekazaji wa ujenzi aidha wa jengo la kibiashara/makazi nk. Au wapi panapatika wawekezaji na taratibu zikoje. Ni hayo wakuu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wa JF kwa muda mrefu nilikuwa nafikiria kuwa nitakadriaje matofali na cement pamoja na kiasi cha mchanga wa kujenga nyumba. Najua kuwa nyumba inaweza kuwa ya vyumba kadhaa na bafu na choo ndani...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Heri ya Mwaka mpya. Naomba ushauri, je kwa maksio nyumba ya vumba vitatu,jiko na sitting room ukiwa umetumia Tiles,Gypsum na badi hiz ngumu zinazofanana na vigae inaweza kughalimu sh ngapi kwa...
0 Reactions
24 Replies
27K Views
Mpango wa miradi ya ujenzi wa nyumba za kupangisha za gharama nafuu ni vema zikawa ambazo wengi wanaweza kumudu kupanga na ghama wanayoweza kumudu wenye kipato cha kawaida. Binafsi naona nyumba...
3 Reactions
13 Replies
24K Views
Kumbe hakuna linaloshindikana iwapo tu rais akiwakunjia sura watendaji wake na kuonesha ukali. Tumeona viongozi kuanzia ngazi ya wizara, mkoa,wilaya mpaka kata kote nchini wakihaha huku na huku...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa yeyote anayejua benki zinazotoa mikopo kwa ajili ya ujenzi wa nyumba na masharti yake tafadhali nijulishe
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Blocks zenye mfereji katikati (grove) kwa rinta nyumba ya kawaida ya kifamilia Katika ujenzi wa nyumba za kawaida za kifamilia tumekuwa na kasumba ya kuingia gharama kubwa za ujenzi kwa kutumia...
4 Reactions
9 Replies
9K Views
Kwanza kabisa anza na kuchimba na kujengea mashimo ya choo. Hii itasaidia ule udongo au mawe uyajaze ndani ya msingi wa nyumba na kama ni sehemu ya mchanga basi utatumia ule mchanga kufyatulia...
19 Reactions
94 Replies
37K Views
Serikali imeanza kutekeleza mradi wa ujenzi wa nyumba 10,000 kwa ajili ya makazi ya wanajeshi kote nchini. Hayo yalisemwa na Msemaji wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Meja Josephat...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
NHC wana mradi mzuri wa ujenzi wa nyumba. Hivi kwanini wasingejenga ghorofa (condominiums) badala ya nyumba za kawaida (za chini) ambazo zinakula maeneo ya ardhi kuliko ghorofa ambaz0 ujenzi wake...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Wadau namalizia ujenzi wa kibanda changu na sasa nipo kwenye ujenz wa fensi ya tofali. Napata kigugumizi nijenge fensi ya namna gani kati ya ile yenye kuta ndefu kwenda juu kiasi mtu wa nje haoni...
0 Reactions
11 Replies
20K Views
Mim ni graduate na Sina uzoefu wa hiyo biashara, lakini ndo biashara niliyo amua niifanye, naomba ushauri kwa wenye uzoefu nayo na kwa kua mtaji wangu ni mdogo. Naomba ushauri nianze na vitu...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wasalaam wana JF, Naomba kwa wazoefu kujulishwa makadirio ya kupaua nyumba kama hii hapa (picha) kwa maeneo ya Kibaha. Nategemea kuezeka kwa bati sio vigae. Upana wa nyumba ni kama mita 10 na...
0 Reactions
6 Replies
12K Views
Mi nikijana ambaye nahitaji kujenga ila nataka kujenga nyumba nzuri kidogo ambayo ikotofauti na jirani zangu Kwa wale mafundi cement mifuko mingapi inaitajika hapo juu vyumba 2 na sebule chini...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom