Ujenzi nyumba hizi kutumia miti/mbao unatufaa Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujenzi nyumba hizi kutumia miti/mbao unatufaa Tanzania?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Candid Scope, Jul 16, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG] [​IMG]

  Nyumba nyingi za Ulaya na Marekani hujengwa kwa mtindo huu, na wakishafunika juu yake kwa makaratasi na maplastic inaonekana bomba sana kumbe ni mbao tu na hata sakafu imesakafishwa kwa mbao.

  Ujenzi huu wa gharama nafuu je, unafaa Tanzania kutokana na gharama kubwa za saruji, mchanga na mengineyo?
   
 2. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Inategemea ni wapi. Kama ni Moshi Arusha Mbeya na Lushoto zinaweza kufaa kutokana na hali ya hewa kuzikubali. Tatizo ni kwamba usalama hauzikubali maana wezi wataingia kama kwao. Hivyo fikiri kabla ya kuingia mkenge.
   
 3. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Badala ya kumaliza miti kwa kuchoma mkaa bora tungeitumia kujenga nyumba kwa mtindo huu kwa gharama nafuu.
   
 4. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Ubora kwa nchi za tropic na dhoruba tuzijuavyo nyumba aina hii inaweza kuhimili misukosuko ya hali ya hewa?
   
 5. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Hilo neno, maana ni msumeno tu inatosha jamaa kujitosa ndani. Majuu usalama kidogo ni mzuri kwa maana kwamba litokeapo jambo vyombo vya usalama hutumia pungufu ya dakika kumi kufika eneo la hatari, kwa bongo masaa zaidi ya mawili usalama hatarini.
   
 6. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Huku kwetu mbao ni more expensive than cement I guess.

  Hao wanajenga hivyo pia kwa ajili ya vimbunga kule kwao si unajua ikija Tornado hata mbao zikikudondokea ni afadhali kuliko kuporomokewa na zege.
   
 7. dudupori

  dudupori JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 1,026
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  Mkuu umeleta wazo zuri, ila kwa wakati huu na bei za mbao zilivyopanda kujenga nyumba kama hii ni ya gharama kubwa kuliko tunavyofikiri. Ni afadhal mtu kama uwezo wake ni mdogo, afikirie angalau kutumia tofali za kuchoma kwani bei yake sio mbaya sana.
   
 8. u

  ureni JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  mchwa teh teh
   
 9. M

  Mama Joe JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,507
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  ni wazo zuri ila sio cost effective kwa sasa, mbao expensive sana pia kuna issue ya moto....
  waakti wenzetu wana bima ya nyumba na zimamoto zao nzuri sie hatuna bima halafu kuna short za umeme wako, moto wa jirani, wa magari yalioacha njia etc na zima moto zetu unaita gari inakuja baada ya saa mbili na usaini cheque 5ml uhudumiwe..... mie naona njia mbadala kama alivyopendekeza mdau hapo juu tofali za kuchoma au hydrafoam....
   
 10. u

  ureni JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Kwenye red hata hizo za tofali moto ukiwaka zitaungua tuu
   
Loading...