Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Jamani tafadhali naomba msaada wa software za mambo ya civili engineering hasa mambo ya ku design water structure kama mabwawa,water supply kuna moja inaitwa watergerm nani anayo?
0 Reactions
2 Replies
669 Views
Shirikisho la Mashirika na vyama vinavyotetea masuala ya Makazi Tanzania (HAFOTA) wamesema wanaandaa mpango wa kuzibana benki kubwa kupunguza riba na kuongeza muda wa marejesho mpaka miaka 15...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Ujenzi wa nyumba kwa siku moja wazinduliwa. Na Peter Mwenda: Majira TATIZO sugu la ukosefu wa makazi nchini limepata ufumbuzi baada ya kampuni ya Moladi Framework ya Afrika Kusini kuzindua...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
By David Stephenson Published by Elsevier Scientific Pub. Co., 1976 Original from the University of Michigan ISBN 0444414177, 9780444414175 222 pages NOTE: Picture above shows newer, 3rd...
0 Reactions
10 Replies
681 Views
Baada ya kukaa ughaibuni kwa muda mrefu nikawaza kujenga kibanda changu huko mbweni hivyo nikaomba ushauri kutoka kwa ndugu na jamaa.Vitu vingi nikiuliza naambiwa ni vya kutoka South Africa,mabati...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Jamanieee, samahanini, pamoja na kwamba nitakuwa naiba haki miliki ya watu, naombeni kama kuna mtu mwenye ramani za kujenga nyumba, yaani design za nyumba, muwe mnatuwekea hapa tuweze kudownload...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Back
Top Bottom