Kwa anayeuza vifaa vya ujenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa anayeuza vifaa vya ujenzi

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mangii, Aug 11, 2012.

 1. M

  Mangii Member

  #1
  Aug 11, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Habari wanajamii ninaduka la vifaa vya ujenzi hapa Dar maeneo ya kitunda mtaji wangu mdogo nahitaji mtu anayeuza vifaa vya ujenzi kwa bei ya jumla anisaidie vifaa kama Rangi, vifaa vya umeme ,vifaa vya bomba tuweke makubaliano niwe nauza vifaa faida nabakia nayo hela yake narudisha namba yzngu yzngu cm 0785323300
   
 2. HUGO CHAVES

  HUGO CHAVES JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 1,852
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  wale watu wako busy hawasomi hata gazeti jaribu kuwatembelea wewe mwenyewe ,tengeneza list yako watu unaoona wanaweza kufanya kazi na wewe .waonyeshe jinsi unavyoaminika hata mtaani kwako .kama huna uaminifu uko aftermoney hutafanikiwa
   
 3. M

  Mangii Member

  #3
  Aug 11, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Asante Kwa ushauri mkuu sipo after money nitafanya hivyo
   
Loading...