Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Hii biashara inahisiwa kuwa ni moja kati ya biashara imara na yenye faida kubwa huku ikihitaji mtaji mkubwa ili kuianzisha, Sasa kwa wadau mliopo kwenye hii bishara tushirikishane namna inavyo...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Nipo mwanza sio mwenyeji sana ila nimefanikiwa kupata kiwanja sehemu. Napenda kujua gharama za ujenzi wa nyumba ya vyumba vitatu...!! Hadi inaisha. Mwenye ujuzi tafadhali ntafurahi tukishare...
0 Reactions
35 Replies
19K Views
Moja kwa moja kwenye mada,bei ya vifaa mbalimbali vya ujenzi imeruka kama ifuatavyo. Mikoani bei ya Mfuko mmoja wa saruji(cement) umepanda kutoka 14500 nwezi wa februari hadi 20000 bei ya leo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mh, rais wa JMT tunakuomba uingilie kati bei ya Saruji au cement kama ilivyo zoeleka pamoja na vifaa vingine vya ujenzi. Mh Rais huku Missenyi Mkoani Kagera bei ya vifaa vya ujenzi iko juu sana...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Wananchi wote wa Dar Es Salaam na Vitongoji vya jirani, Wanaalikwa kwenye tamasha la ujenzi litakalofanyika Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe tarehe 31 Mwezi huu wa Tatu 2018. N keshokutwa siku...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habar wadah uzi huu ni kwa wajuzi na mafundi wa ujenzi wa nyumba, Mimi nmefanikiwa kujenga kabanda kangu ka vyumba SITA natamani kabanda kangu haka nikaezeke kwa VIGAE naomba kujua kwa vyumba...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Mabati ya simba dumu yasiyo na rangi ya gauge 28 kwa bei nzuri yanahitajika.
0 Reactions
4 Replies
857 Views
Salam. Kwa wale wanao ishi Kyela kwa sasa, naomba kujua mahesabu madogo kuhusu ujenzi wa nyumba wilayani hapo kwa mtu mwenye kiwanja tayari. 1. Nyumba ya vyumba 5 yenye vyoo ndani kwa ndani...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tunakukaribisha Kwa Dhati Kuja Kwetu Tukufanyie Ubunifu Wa Nyumba Yako Kuanzia Ramani, Ubunifu Wa Muonekano Wa Nje Hadi Ndani Unaweza Kujiuliza Kwanini Uamue Sisi Tukufanyie Ubunifu? Jibu ni...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Nataka kujenga nyumba ya uani/nyuma je nahitaji kuwa na kibali cha ujenzi?
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wanajamvi habari zenu wakubwa. Naomba msaada wa raman ya nyumba yaan mchoro ambao utakuwa umeonesha master,sitting,deaning,vyumba 2 vya kulala iwe na public moja. Naomba kuwasilisha msaada Najua...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Taasisi nyingi za fedha zikiwepe benki hazitoi "grace period" hasa kwa wakopaji wadogo kwa shughuli za ujenzi wa nyumba za biashara mfano kupangisha kwa ajili ya malazi. Kiwanja ninacho...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau, nina malengo ya kumiliki Ardhi nchini Rwanda, je ninatakiwa kufata taratibu zipi? Mimi sio Raia wa Rwanda
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habar zenu wadau wa GT. Nina milion 3 nipo Morogoro nampango wakujenga nyumba nzuri ya kisasa ila kwa taratibu. Nyumba hiyo naomba Raman nzuri kwa mwenye nayo. Idea niliyonayo ni kujenga Msingi wa...
0 Reactions
43 Replies
37K Views
Serikali itusaidie sisi wananchi wa kipato cha chini tunapoelekea tunashindwa hata kujenga, bei za vifaa vya ujenzi inapaa kila uchao, yaani leo hii bei ya mfuko wa cement ni elfu 17 hapa kibaha...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Cement kwa sasa haikamatiki na inaendelea kuapanda bei tuko busy kuangalia kuungwa mkono za juhudi za wanaohama vyama ila hata vyombo vya habari "front fade" zimejaa umbea ila maisha ya watu wako...
2 Reactions
10 Replies
5K Views
Napenda wataalamu watupe ushauri ili kuondoa woga wa watu kuhusu ujenzi wa nyumba ya ghorofa Moja,gharama kubwa ziko hatua gani,mahitaji muhimu ni nini,na kuna vibali aina gani vinatakiwa, Na...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Mimi nina mpango wa kuanzisha ujenzi wa nyumba yenye walau gorofa tatu ya kuishi naomba msaada wa taratibu za kufuata kabla ya kuanza ujenzi
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Habari, naomba kujua taratibu za ujenzi wa nyumba mjini kwa sasa upoje ? Ikiwa ni pamoja na kujua taratibu za vibali vya ujenzi. Msaada wadau!!
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom